-
Kuuawa Haniyeh; damu katika mishipa ya muqawama
Aug 08, 2024 12:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umeonyesha kilele cha kukataa tamaa na kukwama baada ya miezi kumi ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza kwa kumuuwa kigaidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).