-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 15na sauti
Jan 16, 2017 16:31Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine, hii ikiwa ni sehemu ya 15 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 14 na sauti
Jan 16, 2017 16:29Katika kipindi kilichopita tulizungumzia suala la bidaa na namna ambavyo kundi la Uwahabi (Answar Suna) linavyolichukulia kila jambo ambalo halijatajwa na mihimili miwili ya vyanzo vya dini yaani Qur'an na hadithi, kuwa ni bidaa (uzushi.) katika kipindi hiki tutaendelea kuashiria suala hilo, hivyo endeleeni kuungana nami hadi mwisho wa kipindi….
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 13 na sauti
Jan 16, 2017 16:27Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine, hii ikiwa ni sehemu ya 13 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 12 na sauti
Jan 16, 2017 16:23Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya 12 ya kipindi kinachokosoa, kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw), mienendo na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 11 na sauti
Jan 16, 2017 16:20Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa aya za Qur'ani Tukufu na hadithi mienendo ya makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa ni sehemu ya 11 ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 10 na sauti
Jan 16, 2017 16:14Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu ya 10 ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na Suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 9 na sauti
Jan 16, 2017 15:40Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika sehemu ya tisa ya mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na Suna za Bwana Mtume (saw) mienendo ya makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 8 na sauti
Oct 16, 2016 12:43Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine na hii ikiwa ni sehemu ya nane ya mfululizo huo.
-
Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 7 na sauti
Oct 15, 2016 09:42Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’an Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine na hii ikiwa ni sehemu ya saba ya mfululizo huo.
-
Jumamosi, 15 Oktoba, 2016
Oct 15, 2016 04:17Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Nne Muharram 1438 Hijria sawa na tarehe 15 Oktoba mwaka 2016 Miladia.