• Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani

    Kumbukumbu ya kuuawa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani

    Jan 02, 2024 16:45

    Hamjambo na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ya kukumbuka kuuawa shahidi Kamanda wa Kiislamu, Haj Qassem Soleimani, fahari na kinara wa Iran katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS). Kamanda huyu shujaa aliuawa shahidi katika shambulio la kikatili na kigaidi la ndege za kivita za Marekani huko Iraq.