• Ijumaa, tarehe 21 Machi, mwaka 2025

    Ijumaa, tarehe 21 Machi, mwaka 2025

    Mar 21, 2025 03:27

    Leo ni Ijumaa tarehe 20 Ramadhani 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 21 Machi mwaka 2025.

  • Historia fupi ya Nairuzi

    Historia fupi ya Nairuzi

    Mar 18, 2016 06:21

    Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Jumapili ya tarehe 20 Machi mwaka huu inasadifiana na kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia. Ni sherehe za kale na za muda mrefu ambao matawi yake yameenea katika kona mbalimbali za dunia hadi Afrika Mashariki. Asili ya sherehe za Mwakakongwa huko Makunduchi visiwani Zanzibar, ni sherehe hizo za Nairuzi za nchini Iran.