• Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti

    Oct 15, 2018 11:37

    Maombolezo ya Muharram katika kila jamii huambatana na tamaduni, mila na taratibu za jamii hiyo. Lakini jambo la msingi na muhimu hapa ni kwamba utamaduni na mila hizo za maombolezo hazipasi kwenda kinyume na mafundisho ya Kiislamu na wala hazipasi kuruhusiwa kuvunjia heshima dini wala kupotosha ujumbe wa Ashura.