• Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Jan 09, 2019 07:46

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Kipindi chetu cha leo kitajadili kusimama kidete mapinduzi haya kwa miaka 39 dhidi ya mfumo wa kibeberu. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki.