-
Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)
Oct 11, 2022 06:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema moja ya malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuunda ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu na kuwa lengo hilo haliwezi kufikiwa ila kwa kuwepo umoja wa Shia na Sunni.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 10:42Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu
Feb 07, 2021 06:55Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.