-
Imam Hussein, Nguzo ya Umoja na Mshikamano wa Kiislamu
Oct 31, 2017 10:40Zimebakia siku chache tu hadi siku ya Arubaini ya Imam Hussein (as) na barabara zote za kuelekea katika mji wa Karbala nchini Iraq zimefurika watu kama mto wa maji unaoelekea katika mji mtakatifu wa Karbala.