• Umoja katika mtazamo wa Imam Khomeini (MA) na Ayatullah Khamenei

    Umoja katika mtazamo wa Imam Khomeini (MA) na Ayatullah Khamenei

    Feb 05, 2016 06:18

    Uislamu umeufanya umoja kuwa jambo la wajibu na lazima miongoni mwa Waislamu na waumini na dini nyinginezo za mbinguni zinazomwamini Mwenyezi Mungu Mmoja. Uzito wa jambo hili unaonekana wazi katika aya za Qur'ani Tukufu na riwaya zilizopokelewa kutoka kwa Maimamu Maasumu (as). Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema katika aya ya 103 ya Surat Aal Imran kitabu hicho kitakatifu: Na shikamaneni na Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu mlipokuw

  • Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu

    Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu

    Feb 05, 2016 06:16

    Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaendelea hapa mjini Tehran katika siku yake ya pili leo ukishirikisha wanazuoni, wanafikra na wasomi kutoka nchi 70 duniani. Mkutano huo unafanyika wakati ulimwengu wa Kiislamu ukikabiliana na changamoto kubwa ya ugaidi na haja kubwa ya kuimarisha umoja na mshikamano kati ya Waislamu.