-
Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati huu wa Muharram
Aug 07, 2022 08:08Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi wanne wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul.
-
Mahakama ya ICC yashindwa kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Afghanistan
Aug 01, 2022 16:59Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) bado wanasitasita kuhusu suala la kuendeleza uchunguzi wa uhalifu wa kivita uliofanyika nchini Afghanistan.
-
Kutuhumiwa India kuwa inaunga mkono makundi ya magaidi yaliyoko Afghanistan
Jul 21, 2022 04:29Balozi wa Pakistan mjini Kabul amesema, India inayaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan ili kuvuruga amani na usalama ndani ya Pakistan.
-
Shukurani za Gavana wa jimbo la Herat kwa misaada ya Iran kwa watu wa Afghanistan
Jul 16, 2022 02:42Gavana wa jimbo la Herat ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa watu wa Afghanistan.
-
Uchunguzi: Jeshi la UK liliua makumi ya wafungwa wa Kiafghani
Jul 13, 2022 03:42Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la BBC la Uingereza umefichua kuwa, askari wa nchi hiyo ya Ulaya waliwaua kwa kuwafyatulia risasi raia zaidi ya 50 wa Afghanistan, licha ya kuwa hawakuwa wamejizatiti kwa silaha.
-
UN yakaa kimya kuhusu chanzo cha maafa ya kibinadamu Afghanistan
Jul 12, 2022 11:05Umoja wa Mataifa umetoa ripoti ukitahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Afghanistan na bila ya kuashiria waliosababisha hali hiyo ya sasa inayowakabili watu wa nchi hiyo iliyoathiriwa na vita umetangaza kuwa, wananchi wa Afghanistan eti wanahitaji misaada ya kibinadamu zaidi.
-
Wanawake wa Afghanistan wakosoa kutoalikwa katika kikao cha Loya Jirga
Jul 03, 2022 02:13Wanawake wa Afghanistan wamekosoa kufanyika kikao cha maulamaa wa kidini wa Baraza la Ushauri kwa ajili ya amani ya Afghanistan (Loya Jiirga) bila ya wanawake wa nchi hiyo kuhudhuria. Kutoshirki wanawake katika kikao hicho kunamaanisha kupuuzwa nusu ya jamii ya watu wa Afghanistan.
-
Taliban yaitaka Marekani iachie fedha za Afghanistan baada ya tetemeko la ardhi lililoua 950
Jun 24, 2022 01:17Kufuatia tetemeko la ardhi lililoua mamia ya watu nchini Afghanistan, serikali ya Taliban nchini humo imeitaka Marekani iachie mabilioni ya dola za Waafghani inazozuilia.
-
Guterres aitaka jamii ya kimataifa kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Afghanistan
Jun 23, 2022 03:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko yake na kutoa mkono wa pole kwa wananchi wa Afghanistan kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo jana Jumatano. Vilevile ameitolea wito jamii ya kimataifa kuzisaidia familia zilizokumbwa na janga hilo la kimaumbile.
-
Tetemeko la ardhi Afghanistan laua karibu watu elfu moja, uokoaji unaendelea
Jun 22, 2022 12:07Ripoti za mashirika ya habafri zinasema kuwa karibu watu 1,000 wameaga dunia na mamia kujeruhiwa katika tetemeko la ardhi lililoikumba mikoa miwili kusini mashariki mwa Afghanistan leo, Jumatano.