Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • 255 wauawa na mamia wajeruhiwa katika tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Afghanistan

    255 wauawa na mamia wajeruhiwa katika tetemeko kubwa la ardhi lililoikumba Afghanistan

    Jun 22, 2022 03:29

    Watu wasiopungua 255 wameuawa na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kuyakumba maeneo ya mbali kusini mashariki ya Afghanistan na nchi jirani ya Pakistan alfajiri ya kuamkia leo.

  • Iran inabeba mzigo mkubwa zaidi wa wakimbizi katika eneo

    Iran inabeba mzigo mkubwa zaidi wa wakimbizi katika eneo

    Jun 20, 2022 03:08

    Mwakilishi maalumu wa Jamhuri ya Kiislamu y Iran katika masuala ya Afghanistan amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kutokana na vigezo vyake vya Kiislamu na kibinaadamu imekubali kubeba mzigo mkubwa zaidi wa wakimbizi katika eneo.

  • Benki ya Dunia: Misaada ya UN imeshindwa kupambana na umaskini Afghanistan

    Benki ya Dunia: Misaada ya UN imeshindwa kupambana na umaskini Afghanistan

    Jun 09, 2022 02:34

    Benki ya Dunia imetangaza kuwa, hali ya kibinadamu nchini Afghanistan ni mbaya sana na kwamba misaada ya Umoja wa Mataifa imeshindwa kuzuia ukata na umaskini wa kupindukia nchini humo.

  • Makubaliano ya serikali ya Islamabad na Taliban ya Pakistan ya kusimamisha vita kikamilifu

    Makubaliano ya serikali ya Islamabad na Taliban ya Pakistan ya kusimamisha vita kikamilifu

    Jun 01, 2022 21:54

    Taarifa kutoka Afghanistan zinasema kuwa, kumepigwa hatua nzuri katika mazungumzo baina ya serikali ya Islamabad na kundi la Taliban la Pakistan linalojulikana kwa jina la Tehrik-i-Taliban Pakistan (TTP) kwa upatanishi wa kundi la Taliban la Afghanistan. Taarifa hizo zinasema kuwa pande mbili zimefikia makubaliano ya kusimamisha vita kikamilifu baina yao katika mazungumzo yanayoendelea mjini Kabul.

  • Jumanne, 31 Mei, 2022

    Jumanne, 31 Mei, 2022

    May 30, 2022 22:00

    Leo ni Jumanne tarehe 29 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na tarehe 31 Mei 2022.

  • Taliban: Skuli za wasichana zimefunguliwa katika mikoa 10 ya Afghanistan

    Taliban: Skuli za wasichana zimefunguliwa katika mikoa 10 ya Afghanistan

    May 29, 2022 07:37

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya muda ya Taliban Afghanistan amesema, skuli za wasichana katika ngazi zote zimefunguliwa katika mikoa kumi ya nchi hiyo.

  • Taliban: Mashinikizo dhidi ya Afghanistan hayana tija yoyote

    Taliban: Mashinikizo dhidi ya Afghanistan hayana tija yoyote

    May 28, 2022 03:43

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Taliban iliyoko mjini Doha, Qatar amekaribisha vikao vilivyoitishwa kuzungumzia hali ya Afghanistan na kusisitiza kuwa siasa za mashinikizo dhidi ya nchi hiyo haziwezi katu kuwa na tija na kwamba dunia inapaswa kujenga maelewano na Afghanistan.

  • Kulaaniwa mauaji ya Waislamu wa Kishia Afghanistan

    Kulaaniwa mauaji ya Waislamu wa Kishia Afghanistan

    May 27, 2022 22:54

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa hali ya haki za binadamu nchini Afghanistan amelaani mauaji ya Waislamu wa Kishia wa jamii ya Hazara nchini humo; na mbali na kubainisha kwamba mauaji hayo yanayoilenga jamii hiyo yameratibiwa kwa mpangilio maalumu ametahadharisha pia juu ya matokeo mabaya ya hujuma hizo.

  • Taliban: Watangazaji wanawake wanapotangaza katika televisheni wafunike nyuso zao

    Taliban: Watangazaji wanawake wanapotangaza katika televisheni wafunike nyuso zao

    May 20, 2022 03:13

    Serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan imetoa amri kwa watangazaji wanawake wanaofanya kazi katika chaneli za televisheni za nchi hiyo wafunike sura zao wakati wanapotangaza.

  • Taliban: Hatuna uadui wowote na Marekani, tunafirikia kuanzisha nayo uhusiano mzuri

    Taliban: Hatuna uadui wowote na Marekani, tunafirikia kuanzisha nayo uhusiano mzuri

    May 17, 2022 06:54

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban Sirajuddin Haqqani amesisitiza kuwa, kwa sasa, serikali ya Afghanistan si tu haiitazami Marekani kama adui, bali inafikria pia kuanzisha uhusiano mzuri na Washington.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS