-
Kiongozi wa Taliban atoa agizo jipya kuhusu Hijabu kwa wanawake wa Afghanistan
May 08, 2022 07:46Kiongozi Mkuu wa Taliban nchini Afghanistan Haibatullah Akhunzada ametoa agizo lenye vipengee vinne la sheria mpya kuhusu mipaka ya vazi la Hijabu kwa wanawake wa nchi hiyo.
-
Indhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Afghanistan
May 06, 2022 20:48Ofisi ya Mkaguzi Mkuu Maalumu wa Marekani kwa ajili ya ujenzi mpya wa Afghanistan (SIGAR) imetahadharisha kuhusu taathira za hali mbaya ya kibinadamu nchini humo.
-
Iran: Tuko tayari kuipa Afghanistan teknolojia ya kupambana na ukame
May 04, 2022 07:21Mjumbe wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Tehran iko tayari kuipa Kabul teknolojia ya kupambana na ukame na vumbi linalofunika anga za maeneo mmbalimbali ya Afghanistan.
-
Amani iliyotoweka katika baadhi ya nchi za Kiislamu
May 03, 2022 06:11Wakati nchi za Kiislamu zinasherehekea Idul Fitr na Waislamu wakiwa katika sikukuu na mapumziko baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, katika baadhi ya nchi za Kiislamu ikiwa ni pamoja na Afghanistan, amani na usalama inaonekana kuwa kiungo muhimu zaidi kinachokosekana katika maisha ya watu wa nchi hizo.
-
Qalibaf: Kuunda serikali jumuishi ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa Afghanistan
May 01, 2022 03:39Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kuasisi serikali shirikishi ni jambo lenye umuhimu kwa ajili ya kuhakikisha usalama endelevu nchini Afghanistan.
-
Alkhamisi, Aprili 28, 2022
Apr 27, 2022 22:11Leo ni Alkhamisii tarehe 26 Ramadhani 1443 Hijria, sawa na Aprili 28 mwaka 2022 Milaadia.
-
Jumatano tarehe 27 Aprilii 2022
Apr 26, 2022 21:59leo ni Jmatano tarehe 25 Ramadhani 1443 Hijria, sawa na Aprili 27 mwaka 2022.
-
Taliban yatoa wito kwa Waislamu duniani kusimama dhidi ya Israel
Apr 26, 2022 06:38Naibu msemaji wa serikali ya mpito ya Taliban nchini Afghanistan amesema umoja ni msingi wa Uislamu na hivyo kadhia ya Palestina inapaswa kushughulikiwa kwa msingi huo.
-
Kuendelea mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na majukumu ya Taliban
Apr 23, 2022 21:59Milipuko ya kigaidi iliyotokea hivi karibuni katika miji minne ya Afganistan baada ya kipindi kifupi cha utulivu wa kiwango fulani, imezusha mjadala mkubwa katika duru za kisasa na kiusalama. Kundi la kigadi la Daesh limetangaza kuhusika na milipuko hiyo ya umwagaji damu iliyouwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Idadi ya waliouawa katika mripuko uliotokea jana Kunduz Afghanistan yafikia watu 33
Apr 23, 2022 02:56Idadi ya watu waliouawa shahidi katika shambulio la kigaidi lililotokea jana kwenye Msikiti mmoja wakati wa Sala ya Ijumaa huko Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan wamefikia Waislamu 33.