-
Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan
Apr 06, 2022 06:14Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Rasoul Mousavi, Jumatatu iliyopita aliandika kwenye mtandao wa Twitter kwamba:
-
Iran: Tuko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mihadarati
Apr 05, 2022 22:21Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afghanistan umesema kuwa, Tehran iko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mmea wa mpopi unaozalisha mihadarati na madawa haramu ya kulevya.
-
Taliban yapiga marufuku uzalishaji wa mihadarati nchini Afghanistan
Apr 03, 2022 22:04Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepasisha sheria ya kupiga marufuku kilimo cha mipopi na uzalishaji wa aina nyingine zote za dawa za kulevya.
-
Iran imeshawapelekea wananchi wa Afghanistan zaidi ya shehena 30 za misaada ya kibinadamu
Mar 31, 2022 23:00Mwakilishi wa Kudumu wa Iran kwenye Umoja wa Mataifa amesema kuwa, katika kipindi cha miezi michache iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewapelekea wananchi wa Afghanistan zaidi ya shehena 30 za misaada ya kibinadamu na kusisitiza kuwa, kuna udharura kwa jamii ya kimataifa kuisaidia kifedha Afghanisan ili ivuke katika kipindi hiki kigumu.
-
Kikao cha Tatu cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi jirani na Afghanistan
Mar 31, 2022 22:11Mji wa Tunxi wa jimbo la Anhui la katikati mwa China Jumatano ya juzi na Alkhamisi ya jana ulikuwa mwenyeji wa Kikao cha Tatu cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Majirani ya Afghanistan. Kikao cha kwanza na cha pili cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi zinazopakana na Afghanistan vilifanyika mwaka jana katika nchi za Pakistan na Iran kwa utaratibu.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ndio tatizo kuu la Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 30, 2022 21:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio tatizo kuu la Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mwito wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa Taliban
Mar 26, 2022 22:00Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitaka Taliban ichukue hatua haraka iwezekanavyo kuhakikisha wasichana nchini Afghanistan wanarudi mashuleni kuendelea na masomo.
-
Taliban yatangaza mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana Afghanistan
Mar 25, 2022 21:54Msemaji wa wizara ya elimu ya serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametangaza kuwa, mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana kuanzia darasa la saba umekabidhiwa kwa rais wa serikali ya nchi hiyo.
-
Taliban yafanya kikao muhimu kujadili mabadiliko serikalini na kutambuliwa kimataifa
Mar 23, 2022 02:58Kundi la Taliban nchini Afghanistan limefanya kikao muhimu cha kujadili mabadiliko ya baraza lake la mawaziri na nini kifanyike ili serikali ya kundi hilo itambuliwe na kukubaliwa kimataifa.
-
Baada ya kutelekezwa na Marekani, wakimbizi Waafghani waliokuweko UAE warejea nyumbani
Mar 15, 2022 09:48Mamia ya wahajiri Waafghani ambao walikuwa wamewekwa kwenye kambi moja nchini Imarati tangu miezi saba nyuma, wakiwa na matumaini ya kusafirishwa kupelekwa Marekani wameamua kurudi nchini kwao Afghanistan kutokana na ukwamishaji ambao Washington imekuwa ikiendelea kuufanya kuhusiana na safari yao.