-
Umoja wa Mataifa: Ni asilimia 12 tu ya fedha zinazohitajika kuisaidia Afghanistan ndizo zilizopatikana
Feb 27, 2022 04:17Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, ni asilimia 12 tu ya fedha zilizokuwa zikihitajiwa na umoja huo kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Afghanistan ndizo zilizopatikana.
-
Indhari ya Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu kuhusiana na hali ya afya na huduma za tiba Afghanistan
Feb 26, 2022 02:40Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limekosoa mwenendo wa utoaji chanjo nchini Afghanistan na kuitaka jamii ya kimataifa kuiunga mkono sekta ya tiba ya nchi hiyo.
-
Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban
Feb 22, 2022 14:44Baada ya kupita miezi sita tangu wanamgambo wa Taliban wachukue madaraka nchini Afghanistan, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, kuendelezwa mawasiliano na Taliban na kufanyika mazungumzo baina ya Waafghani ndio chaguo bora zaidi na ni kwa maslahi ya pande zote nchini humo pamoja na jamii ya kimataifa.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kupanuka zaidi ugaidi wa ISIS kutoka Afghanistan
Feb 21, 2022 01:10Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake kuhusu tishio la ugaidi wa kundi la Daesh (ISIS) unaoenea kutoka Afghanistan. Antonio Guterres amesema magaidi ni hodari sana katika kutumia umbwe wa madaraka.
-
WFP: Asilimia 95 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha
Feb 20, 2022 13:27Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, asilimia 95 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha.
-
Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani
Feb 16, 2022 02:35Serikali ya Taliban nchini Afghansitan imetishia kuangalia upya misimamo na sera zake kwa Marekani, iwapo Washington itakataa kuachia mabilioni ya fedha za Waafghani ilizozuilia.
-
Guterres alitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwaunga mkono wananchi wa Afghanistan
Feb 14, 2022 07:42Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo kuwaunga mkono wananchi wa Afghanistan ambao wanataabika kutokana na hali mbaya ya uhaba mkubwa wa chakula.
-
Waafghani waandamana kulaani wizi wa mabilioni uliofanywa na Marekani
Feb 13, 2022 12:45Wananchi wa Afghanistan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul, kulalamikia kitendo cha hatua ya Marekani ya kupora mabilioni ya dola za Afghanistan na kuzitumia kuwalipa wanaodai fidia kutokana na mashambulizi ya Septamba 11 mwaka 2001.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu wanaharakati wa kike waliotoweka Afghanistan
Feb 09, 2022 02:58Msemaji wa Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wa umoja huo kuhusu kukosekana taarifa kuhusiana na hali ya wanaharakti wa kike waliotoweka huko Afghanistan na kutaka kuitaka serikali ya Taliban kufanya uchunguzi katika uwanja huo.
-
Mripuko wa ugonjwa wa surua waua watoto 74 Afghanistan
Feb 07, 2022 02:52Mripuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watoto kaskazini mwa Afghanistan.