-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu wanaharakati wa kike waliotoweka Afghanistan
Feb 08, 2022 23:28Msemaji wa Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wa umoja huo kuhusu kukosekana taarifa kuhusiana na hali ya wanaharakti wa kike waliotoweka huko Afghanistan na kutaka kuitaka serikali ya Taliban kufanya uchunguzi katika uwanja huo.
-
Mripuko wa ugonjwa wa surua waua watoto 74 Afghanistan
Feb 06, 2022 23:22Mripuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watoto kaskazini mwa Afghanistan.
-
Kupinga Taliban kuhusu hali ya wananchi wa Afghanistan
Feb 03, 2022 23:05Kundi la Taliban limepinga pakubwa ripoti mbalimbali zilizotolewa kuhusu hali ya mambo inayowakabili wananchi wa Afghanistan na halipo tayari kukubali uhakika wa mambo wa jamii ya nchi hiyo hasa baada ya kundi hilo kuchukua madaraka huko Afghanistan.
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa UN la kuchungwa haki za msingi za binadamu na Taliban nchini Afghanistan
Feb 01, 2022 00:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema, ili serikali ya Taliban nchini Afghanistan iwe na uwanachama katika jamii ya kimataifa na iweze kutambuliwa rasmi, inapaswa kuchunga haki za msingi za binadamu zikiwemo za wanawake.
-
Indhari ya Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuhusu ukosefu wa ajira nchini Afghanistan
Jan 22, 2022 23:07Shirika la Kazi Duniani (ILO) limetahadharisha kuhusu kuendelea ukosefu wa ajira miongoni mwa wananchi wa Afghanistan.
-
Sanders: Afghanistan inakabiliwa na janga kubwa
Jan 19, 2022 04:43Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amezungumzia hali mbaya ya Afghanistan na kutoa wito kwa serikali ya Marekani kuachilia mabilioni ya dola fedha za Afghanistan yanayozuiliwa nchini humo.
-
Baa la njaa nchini Afghanistan
Jan 16, 2022 09:02Zaidi ya watu milioni 22 nchini Afghanistan wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.
-
Taliban yaitaka US iheshimu wito wa UN wa kuachia fedha za Afghanistan
Jan 14, 2022 21:16Serikali ya Taliban imeitaka Washington itekeleze mwito uliotolewa hivi karibuni na Umoja wa Mataifa, wa kuachia fedha za Afghanistan zilizozuiwa nchini Marekani.
-
Khatibzadeh: Ipo ajenda ya kufanyika duru ya tano ya mazungumzo baina ya Iran na Saudia
Jan 10, 2022 05:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema Iran na Saudia zinapanga kufanya awamu ya tano ya mazungumzo chini ya uenyeji wa nchi ya Iraq.
-
Russia: Walioivamia Afghanistan na kuikalia kwa mabavu miaka 20, ni wajibu wao kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo
Dec 24, 2021 04:23Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi zilizoivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa muda wa miaka 20 ndizo hasa zenye jukumu nambari moja la kuwasaidia wananchi wa nchi hiyo.