-
Marekani yatuhumiwa kuua watu wa Afghanistan kimya kimya
Dec 23, 2021 23:19Marekani na waitifaki wake ambao waliivamia na kuikali kwa mabavu nchi ya Afghanistan kwa kipindi cha miaka 20 wameua kwa umati raia wengi wa nchi hiyo hususan watoto wadogo kwa kutumia kisingizio cha kupambana na ugaidi; na sasa Washington na washirika wake wanaendeleza mauaji ya halaiki na ya kimya kimya dhidi ya raia wa Afghanistan.
-
India yawapatia uraia wasio Waislamu kutoka Afghanistan, Pakistan na Bangladesh
Dec 23, 2021 04:38Serikali ya India imesema imewapatia uraia watu elfu tatu, ambao ni raia wa jamii za wachache katika nchi za Afghanistan, Pakistan na Bangladesh.
-
Baraza la Usalama la UN lapitisha azimio la kurahisisha upelekaji misaada Afghanistan
Dec 23, 2021 03:12Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamepitisha kwa kauli moja azimio la kurahisisha shughuli za upelekaji misaada nchini Afghanistan.
-
UN yaipongeza Iran kwa kuwahudumia vyema wakimbizi
Dec 21, 2021 04:12Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa (UNHCR) imeipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kupokea idadi kubwa ya wakimbizi licha ya matatizo yanayoikabili na kusema imeisaidia jamii ya kimataifa.
-
Ulegezaji kamba katika misimamo ya Taliban, kutoka maneno hadi vitendo
Dec 20, 2021 23:12Msimamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan katika serikali ya mpito ya Taliban amesema kuwa kushirikishwa Waafghani wote katika muundo wa serikali ya nchi hiyo ni jambo la lazima.
-
Iran: Amani endelevu itapatikana tu Afghanistan kwa kuundwa serikali shirikishi
Dec 19, 2021 09:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: amani endelevu na ya kudumu itaweza kupatikana tu nchini Afghanistan ikiwa itaundwa serikali shirikishi na itakayojumuisha pande zote.
-
Russia yakanusha tuhuma za kuiuzia silaha Taliban, yasema ni madai ya kijinga
Dec 17, 2021 09:44Mwakilishi wa rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amekanusha habari iliyotangazwa na vyombo vya habari vya Magharibi kwamba nchi hiyo imeiuzia silaha serikali ya Taliban.
-
Lengo la mkutano wa Islamabad ni kuisaidia nchi ya Afghanistan
Dec 17, 2021 08:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan amesema kuwa, lengo la kikao cha Islamabad ni mkusanyiko wa kimataifa kwa ajili ya kuisaidia Afghanistan.
-
Mgogoro wa kibinadamu ambao haujawahi kushuhudiwa nchini Afghanistan
Dec 14, 2021 22:58Afisa mmoja wa Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) amesema kuwa, mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan ni wa aina yake na haujawahi kushuhudiwa.
-
Araqchi: Marekani inabeba dhima kwa hali ya sasa Afghanistan
Dec 05, 2021 23:46Katibu wa Baraza la Kistratajia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema Marekani ndiyo inayopaswa kulaumiwa na kuwabishwa kutokana na matatizo mengi yanaoikumba Afghanistan.