-
Raisi: Uhusiano unaoimarika kati ya Iran na Tajikistan utaendelezwa kwa nguvu
Nov 28, 2021 08:26Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa uhusiano mwema kati ya Iran na Tajikistan utaendelezwa kwa nguvu zote katika nyanja za kibiashara, kiutamaduni na kiuchumi.
-
Taliban yaituhumu CIA kuwa inafanya mipango ya kuigawa Afghanistan
Nov 27, 2021 23:20Afisa wa ngazi ya juu wa kundi la Taliban ametangaza kuwa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA linafanya jitihada za kuigawa Afghanistan.
-
Amnesty yaonya: Maafa ya kibinadamu yataikumba Afghanistan isipoondolewa vikwazo
Nov 24, 2021 11:38Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema, ikiwa Afghanistan haitaruhusiwa kutumia akiba zake za benki kwa ajili ya kusaidia watu wake, maafa ya kibinadamu yataikumba nchi hiyo katika kipindi cha miezi ijayo.
-
Msemaji wa UN: Mfumo wa fedha na kibenki wa Afghanistan unakaribia kusambaratika
Nov 23, 2021 08:38Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine ametahadharisha kuhusu mgogoro wa kiuchumi huko Afghanistan na kueleza kuwa mfumo wa fedha na kibenki wa nchi hiyo unakaribia kuanguka.
-
Iran yasikitishwa na hali mbaya ya wakimbizi wa Afghanistan
Nov 22, 2021 08:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza wasi wasi wake kuhusu hali mbaya inayowakabili wakimbizi wa Afghanistan.
-
Asilimia 87 ya mihadarati ya mmea wa mpopi (opium) inazalishwa nchini Afghanistan
Nov 20, 2021 23:29Uzalishaji wa madawa ya kulevya yanayotokana na mmea wa mpopi maarufu kwa jina la "tiyrak" au "opium" umeongezeka sana nchini Afghanistan, na hivi sasa asilimia 87 ya madawa hayo haramu duniani, yanazalishwa nchini humo.
-
Ripoti ya Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan kwa Baraza la Usalama
Nov 19, 2021 05:09Deborah Lyons, Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan amesema katika ripoti yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba ana shaka iwapo serikali ya muda inayoongozwa na Taliban nchini Afghanistan ina uwezo wa kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh.
-
Madai ya Taliban ya kuwepo serikali jumuishi nchini Afghanistan
Nov 14, 2021 23:16Kaimu waziri wa mambo ya nje wa serikali ya muda ya Taliban amekataa wito wa jamii ya kimataifa unaosisitizia ulazima wa kuundwa serikali jumuishi nchini Afghanistan na kudai kwamba, serikali ya Taliban ni jumuishi na ndani yake wamo wawakilishi wa jamii zote za nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa kibinadamu nchini Afghanistan
Nov 13, 2021 00:48Mwakilishi wa Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Afghanistan ametahadharisha kuhusu mgogoro mkubwa wa kibinadamu unaoinyemelea nchi hiyo.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku
Nov 11, 2021 04:39Shirika moja la Ulaya la kushughulikia maslahi ya wakimbizi limeiasa jamii ya kimataifa kuwapa msaada wa chakula na makazi maelfu ya wakimbizi wanaoingia nchini Iran kila siku wakitokea Afghanistan.