-
Iran: Marekani iwajibishwe kwa matatizo yanaoikumba Afghanistan
Nov 10, 2021 10:56Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani na waitifaki wake wanapaswa kubebeshwa dhima kutokana na migogoro na matatizo mengine yanayoshuhudiwa hii leo nchini Afghanistan.
-
Ukulima wa mipopi umeshamiri Afghanistan kutokana na vikwazo ilivyowekewa Taliban
Nov 09, 2021 23:10Ukulima wa mipopi inayozalisha mihadarati ya kasumba umeongezeka nchini Afghanistan kutokana na vikwazo lilivyowekewa kundi la Taliban linalotawala nchi hiyo kwa sasa.
-
Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan
Nov 09, 2021 23:08Thomas West, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala Afghanistan amedai kuwa, Washington ina wasiwasi na suala la kuongezeka hujuma na mashambulio ya makundi yenye mfungamano na kundi la Daesh na uwepo wenye kuendelea wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda.
-
Skuli za wasichana zafunguliwa tena katika mkoa wa Herat, Afghanistan
Nov 07, 2021 08:36Skuli za wasichana katika mkoa wa Herat nchini Afghanistan zimefunguliwa tena.
-
Unicef kuwalipa mishahara walimu moja kwa moja nchini Afghanistan
Nov 04, 2021 20:24Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema kuwa unafanya mpango wa kuanzisha mfumo ambao utawafadhili kifedha moja kwa moja walimu nchini Afghanistan. Hiyo ni baada ya jamii ya kimataifa kuzuia fedha kwa utawala wa kundi la Taliban linaloongoza nchi hiyo.
-
25 wauawa katika mashambulizi pacha ya mabomu Afghanistan
Nov 02, 2021 10:44Makumi ya watu wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea leo katika hospitali ya kijeshi katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya watoto milioni moja nchini Afghanistan
Oct 30, 2021 22:50Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetahadharisha kuwa, watoto milioni moja wa Afghanistan wako katika hali mbaya na hatari ya kupoteza maisha kutokana na lishe duni.
-
Guterres: Afghanistan imekumbwa na mgogoro usioelezeka wa kibinadamu
Oct 28, 2021 03:53Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kuwaokoa wananchi wa Afghanistan na kusisitiza kuwa, nchi hiyo hivi sasa imo kwenye mgogoro mkubwa wa kibinadamu ambao hauelezeki hivyo hatua za haraka lazima zichukuliwe kuepusha kutokea janga kubwa la kibinadamu nchini humo.
-
Njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuzishirikisha kaumu zote katika muundo wa kisiasa
Oct 27, 2021 23:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Jrani na Afghanistan mwishoni mwa kikao chao hapa Tehran wametoa taarifa ya pamoja na kusisitiza kuwa: njia pekee ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Afghanistan ni kuasisi muundo mpana wa kisiasa kwa kuyashirikisha makundi yote ya nchi hiyo.
-
Mwito wa Imran Khan wa kuitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan
Oct 27, 2021 22:45Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan ameitaka Marekani iache kuzikalia mali za Afghanistan na irejeshe mali hizo zinazoshikiliwa na mabenki ya Marekani.