• Ufaransa na Ivory Coast zasisitiza kuimarishwa ushirikiano

    Ufaransa na Ivory Coast zasisitiza kuimarishwa ushirikiano

    Feb 05, 2016 21:52

    Ufaransa na Ivory Coast zimesisitiza udharura wa kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili. Rais François Hollande wa Ufaransa na mwezake wa Ivoy Coast, Alassane Ouattara ambao wamekutana mjini Paris wameeleza pia wasiwasi wao kuhusu harakati za kigaidi hususan katika eneo la magharibi mwa Afrika.