-
Mapinduzi ya Kiislamu; uungaji mkono kwa mapambao ya Kiislamu na Quds Tukufu
Feb 10, 2018 13:17Hii leo ulimwengu wa Kiislamu ungali una madonda makongwe ambayo yamesababishwa na madola ya kiistikbari kwa Umma wa Kiislamu na muhimu zaidi kati ya madonda hayo ni suala la Palestina na kuendelea siasa za utawala haramu wa Israel za kughusubu ardhi za Waislamu.
-
Sababu za kubakia na kudumu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 10:55Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara wa Imam Ruhullah Khomeini; mapinduzi ambayo yalihitimisha utawala dhalimu na kibarala wa mfalme Shah. 11/02/2018
-
Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 07:57Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ameyasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kueleza kuwa, yamekuwa na taathira chanya katika Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)
Feb 09, 2018 12:55Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.
-
Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo
Feb 09, 2018 05:46Licha ya kupita miaka 39 sasa tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran lakini mapinduzi hayo na taathira zake kikanda na kimataifa yangali yanajadiliwa hadi sasa katika duru mbalimbali za kisiasa, vyuo vikuu na vyombo vya habari kote duniani.
-
Kujiamini na ustawi wa kisayansi Iran
Feb 08, 2018 08:29Hamjambo wapenzi wasikilizaji. Tuko katika siku hizi ambazo ni maarufu kama Alfajiri 10, ambazo ni siku za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Tumewaandalia makala kadhaa kwa munasaba huo na leo tutaangazia maendeleo na mafanikio makubwa ya watu wa Iran katika uga wa sayansi kutokana na kujiamini taifa hili la Kiislamu. Karibuni.
-
Rais Rouhani: Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa
Feb 05, 2018 16:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushindi wa Mapinduzi ya Kiisamu ya Iran yaliyotokea 1979 ulikuwa muujiza wa kihistoria na kisiasa.
-
Marekani na makabiliano ya daima dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 05, 2018 11:07Kipindi hiki kimejaribu kutupia jicho kwa ufupi uadui ambao umekuwa ukiendeshwa na Marekani dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kwa karibu miaka 40 iliyopita.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu
Feb 01, 2018 08:40Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
-
Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uistikbari na kuunga mkono mapambano ya Kiislamu
Feb 01, 2018 08:12Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyowaandalieni kwa munasaba wa siku hizi za maadhimisho ya kuingia katika mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya 1979. Katika makala hii ya leo tutaangazia kadhia ya 'Mapinduzi ya Kiislamu katika mstari wa mbele wa kupinga uiskitabiri wa kimataifa na kuunga mkono muqawama au mapambano ya Kiislamu.