-
Hizbullah yapongeza juhudi za Iran za kusuluhisha matatizo ya eneo
May 16, 2016 06:49Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na ugaidi sambamba na jitada zake za kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
Abdulahiyan: Kuiita Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi hakuna maskahi kwa M. ya Kati
Mar 03, 2016 06:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hatua ya kuiweka harakati ya Huzbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi ni sawa na kufumbia macho jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel suala ambalo halina faida kwa usalama na amani na eneo la Mashariki ya Kati.