-
Tarehe 12 Bahman, kumbukumbu ya kurejea Iran Imam Khomeini; kuanza Alfajiri Kumi
Jan 31, 2024 16:36Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Wasikilizaji wapenzi, Alkhamisi ya tarehe Mosi Februari wiki hii inasadifiana na tarehe 12 Bahman ambayo ni kumbukumbu ya moja ya matukio makubwa katika historia ya zama hizi, tukio la tarehe 12 Bahman 1357 kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe Mosi Februari 1979.
-
Bahman 12; Kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi; dhihirisho la umoja na mshikamano wa taifa la Iran
Feb 01, 2020 11:17Leo Jumamosi tarehe 12 mwezi Bahman sawa na Februari Mosi ni siku ya kuanza alfajiri kumi za maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Bahman 22 katika miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 17:21Leo Jumatatu tarehe 11 Februari 2019 ambayo imesadifiana na tarehe 22 Bahman 1397 kwa mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, ni siku ambayo zimefikia kileleni sherehe za miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 08:06Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mfalme wa Oman atuma ujumbe wa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2019 02:48Mfalme wa Oman Qaboos bin Said amemtumia ujumbe wa pongezi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq ayasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 10, 2018 07:57Mufti Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Kisuni nchini Iraq ameyasifu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kueleza kuwa, yamekuwa na taathira chanya katika Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa ujumla.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)
Feb 09, 2018 12:55Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.
-
Ujumbe wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mwanadamu wa Leo
Feb 09, 2018 05:46Licha ya kupita miaka 39 sasa tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran lakini mapinduzi hayo na taathira zake kikanda na kimataifa yangali yanajadiliwa hadi sasa katika duru mbalimbali za kisiasa, vyuo vikuu na vyombo vya habari kote duniani.
-
Wairani waanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 01, 2018 07:57Wananchi wa Iran wameanza sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran ambayo yaliupindua utawala wa kitaghuti wa Kipahlavi uliokuwa unaungwa mkono kila upande na Marekani.