-
Wabahrain waendeleza maandamano ya kupinga uhusiano na Israel
Oct 15, 2021 04:19Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Wabahrain waandamana kupinga waziri wa utawala wa Kizayuni kukanyaga ardhi ya nchi yao
Oct 01, 2021 02:27Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano makubwa katika miji kadhaa ya nchi hiyo kupinga waziri wa mambo ya nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kukanyaga ardhi ya nchi yao na kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv.
-
Utawala wa Aal Khalifa umewatesa na kuwasotesha jela mamia ya watoto Bahrain
Sep 28, 2021 02:26Vyombo vya habari vimefichua kuwa utawala wa Aal Khalifa umetesa mamia ya watoto nchini Bahrain ili kuwalazimisha wakiri makosa katika jela za utawala huo wa kiimla.
-
Wananchi wa Bahrain walaani kutumwa balozi wa Aal-Khalifa huko Israel
Sep 04, 2021 10:23Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kulaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, sanjari na pande mbili hizo kubadilishana mabalozi.
-
Kupiga marufuku utawala wa Bahrain maombolezo ya Imam Hussein (a.s); mwendelezo wa kunyanyaswa Waislamu wa Kishia
Aug 18, 2021 02:42Kama ilivyokuwa katika miaka iliyopita, mwaka huu pia utawala wa kifamilia wa Aal Khalifa nchini Bahrain umepiga marufuku kufanya shughuli zozote zile za Waislamu wa madhehebu ya Kishia za maombolezo ya Muharram na kumbukumbu ya kifo cha Imam Hussein (a.s).
-
Wanazuoni wa Kiislamu Bahrain wawakosoa watawala wa ukoo wa Aal Khalifa kwa kuvunjia heshima nembo za kidini
Aug 17, 2021 02:33Wanazuoni wa Kiislamu wa Bahrain wamelaani vikali hatua za utawala wa kizazi cha Aal Khalifa wa nchi hiyo za kuvunjia heshima shughuli za kidini na nembo za maombolezo ya mwezi wa Muharram unaokumbusha mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) na kutoa wito wa kukomeshwa mara moja hatua hizo.
-
Jumamosi, 14 Agosti, 2021
Aug 13, 2021 23:55Leo ni Jumamosi tarehe 5 Mfunguo Nne Muharram 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 14 Agosti 2021 Miladia.
-
Sheikh Issa Qassim atuma ujumbe wa pongezi kwa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 03, 2021 06:35Kiongozi wa Kiroho wa Harakati ya Wananchi wa Bahrain ametuma ujumbe wa pongezi kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kwa kuachiliwa kwake huru.
-
Hukumu za kifo nchini Bahrain zaongezeka mara 600 tangu 2011
Jul 14, 2021 04:06Utekelezaji wa adhabu ya kifo nchini Bahrain umeongezeka sana katika muongo mmoja uliopita, haswa tangu kulipoanza mwamko wa wananchi katika nchi za Kiarabu mwaka 2011.
-
Al Wifaq: Utawala wa Aal Khalifa ni wa kizamani
Jun 24, 2021 03:37Jumuiya ya Kiislamu ya Bahrain ya al Wifaq imesisitiza juu ya ulazima wa kutekelezwa marekebisho makubwa na mapana nchini humo na kueleza kuwa utendaji uliopitwa na wakati wa utawala wa Aal Khalifa hauwiani na mazingira ya sasa.