-
Ayatullah Araki: Wamagharibi walianzisha kundi la Daesh ili kukabiliana na Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 21, 2017 22:10Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, ulimwengu wa Magharibi hasa Marekani umekuwa ukitumia mbinu na nyenzo mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Araki asisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi za Kiislamu
May 17, 2017 23:05Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, nchi za Shirikisho la Urusi zinaweza kuwa na nafasi muhimu katika Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla katika kukuza uhusiano wa nchi za Kiislamu na vilevile kuinua kiwango chao cha nafasi ya kisiasa na kiuchumi duniani.