-
Kushadidi mzozo baina ya Wademocrat na Trump na uwezekano wa kuitwa bungeni ajieleze
Jan 05, 2019 06:36Tangu alipoingia madarakani nchini Marekani hadi hivi sasa, rais wa nchi hiyo Donald Trump, amekuwa akifanya kila njia kulishinikiza Baraza la Congress libadilishe sheria za nchi kwa manufaa yake.
-
Kongresi yataka kuchunguzwa uhusiano wa mkwe wa Trump na Bin Salman
Mar 30, 2018 08:13Wajumbe kadhaa wa Kongresi ya Marekani wameiandikia barua Idara Polisi ya Federali ya nchi hiyo (FBI) wakitaka kufanyike uchunguzi juu ya uhusianio uliopo baina ya mkwe wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman.
-
Hatua mpya ya Bunge la Marekani dhidi ya Iran
Nov 19, 2016 08:02Wawakilishi wa Bunge la Marekani ambalo linadhibitiwa na Warepublican juzi walipasisha mpango ambao unazuia kuiuzia Iran ndege zaidi ya 100 za abiria aina ya Boeing.