-
Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe
Jan 14, 2020 12:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuundwa jopo maalumu la mahakama la kuchunguza ajali ya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176 siku chache zilizopita hapa jijini Tehran, sanjari na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa ajali hiyo.
-
Takwa la asasi za kiraia za Canada la kusitishwa uuzaji silaha wa serikali ya Ottawa kwa Saudi Arabia
Aug 10, 2019 08:02Saudi Arabia ni mnunuzi mkubwa kabisa wa silaha za madola ya Magharibi na kwa mwaka hutumia mamilioni ya dola kwa ajili ya kununua silaha.
-
Jumuiya za kiraia Canada zaitaka serikali ya Ottawa iache kuiuzia silaha Saudi Arabia
Aug 08, 2019 07:56Jumuiya 12 za kiraia nchini Canada zinamshinikiza Waziri Mkuu wa nchi hiyo Justin Trudeau ili asimamishe kuuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia unaofanya jinai kila leo dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Alkhamisi tarehe Mosi Agosti 2019
Aug 01, 2019 02:54Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na tarehe Mosi Agosti mwaka 2019.
-
Matamshi aliyotoa waziri wa Misri Canada kwamba wakosoaji wa serikali 'watakatwa vichwa' yazusha taharuki
Jul 25, 2019 06:56Matamshi yaliyotolewa nchini Canada na waziri mmoja wa serikali ya Misri ya kuwatisha wapinzani wa serikali ya rais Abdel Fattah el Sisi wa nchi hiyo yamezusha taharuki miongoni mwa wananchi.
-
Waislamu Canada walaani matamshi ya waziri wa elimu wa Quebec ya kupiga vita Hijabu
Feb 08, 2019 08:02Baraza la Taifa la Waislamu wa Canada limelaani matamshi ya waziri wa elimu na malezi wa jimbo la Quebec dhidi ya vazi la stara na staha la Kiislamu la Hijabu.
-
Canada yapinga kuundwa 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'
Feb 02, 2019 02:46Waziri Mkuu wa mkoa wa Quebec nchini Canada amepinga mwito wa kuundwa siku ya kitaifa ya kulaani jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
-
Canada yawawekea vikwazo raia 17 wa Saudia kwa kuhusika na mauji ya Khashoggi
Nov 30, 2018 04:29Serikali ya Canada imewawekea vikwazo raia 17 wa Saudi Arabia kwa kuhusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari aliyekuwa akiuokosoa utawala wa hivi sasa wa nchi hiyo.
-
Waislamu Canada wataka 'Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu'
Nov 23, 2018 07:52Waislamu nchini Canada wamesema jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu zimeshtadi huku wakiitaka serikali izindue mpango mkakati wa kuziunganisha jamii za nchi hiyo.
-
Jumanne, 16 Oktoba, 2018
Oct 16, 2018 02:39Leo ni Jumanne tarehe 6 Safar 1440 Hijria sawa na Oktoba 16, mwaka 2018.