-
Wanawake Waislamu Quebec, Canada kupigwa marufuku kuvaa Hijabu
Oct 05, 2018 15:34Serikali ya Waziri Mkuu mteule wa jimbo la Quebec nchini Canada imeazimia kuwapiga marufuku wanawake Waislamu wa eneo hilo kuvaa hijabu ya aina yeyote ikiwemo mitandio ya kichwani.
-
Canada yamnyang'anya uraia wa fakhari Aung San Suu Kyi kwa jinai za serikali ya Myanmar
Sep 28, 2018 07:41Wawakilishi wa bunge la Canada baada ya kupita mwaka mmoja tangu kulipozuka jinai za kutisha za serikali ya Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya, hatimaye wamemnyang'anya uraia wa fakhari kiongozi wa chama tawala wa nchi hiyo, Aung San Suu Kyi.
-
Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani
Sep 04, 2018 02:34Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.
-
Canada yaikosoa tena Saudia kwa kumhukumu kifo mwanaharakati wa haki za binadamu
Aug 23, 2018 07:53Serikali ya Canada imekosoa tena ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Saudi Arabia hususan hatua ya utawala huo wa kifalme ya kumhukumu kifo mwanaharakati mwanamke wa haki za binadamu.
-
Waislamu wa Canada waandamana kupinga hatua ya Saudia ya kuwazuia kwenda kuhiji Makka
Aug 12, 2018 14:48Waislamu nchini Canada wamefanya maandamano wakipinga siasa za utawala wa kifalme wa Saudi Arabia za kuwazuia kwenda kutekeleza ibada ya Hija katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
-
Saudia yasimamisha safari za ndege kwenda Canada na mabadilishano ya wanafunzi
Aug 07, 2018 08:20Kufuatia hatua ya serikali ya Canada kuukosoa utawala wa Aal-Saudia kutokana na utawala huo kuzidisha kamatakamata dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu nchini humo, shirika la ndege la Saudia limetangaza kusimamisha safari zake kwenda au kutokka Canada.
-
Ansarullah yalaani kufukuzwa balozi wa Canada nchini Saudia, yamkaribisha Yemen
Aug 06, 2018 08:06Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amelaani kitendo cha Saudi Arabia cha kumfukuza balozi wa Canada mjini Riyadh na kuitaka Ottawa kufungua ubalozi wake San'a, mji mkuu wa Yemen.
-
Joto kali laua makumi ya watu mashariki mwa Canada
Jul 07, 2018 02:42Wimbi la joto kali ambalo halijawahi kushuhudiwa limesababisha vifo vya watu 33 katika mkoa wa Quebec mashariki mwa Canada.
-
Jumapili, Julai Mosi, 2018
Jul 01, 2018 01:47Leo ni Jumapili tarehe 17 Shawwal 1439 Hijiria, inayosadifiana na Julai Mosi mwaka 2018 Miladia.
-
Iran: Hatua ya Bunge la Canada dhidi yetu ni kosa la kistratijia
Jun 13, 2018 15:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bahram Qassemi ametoa radiamali kufuatia muswada wa kutaka kuweka vizingiti kwenye mahusiano ya nchi hii katika Bunge la Canada na kusema kuwa muswada huo ni kosa kubwa la kistratijia.