-
Burundi yalaani kitendo cha serikali ya Canada kuwazuia Warundi kushiriki kura ya maoni
May 17, 2018 23:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Burundi imekosoa vikali hatua ya viongozi wa Canada ya kuwazuia Warundi wanaoishi katika nchi hiyo kushiriki katika kura ya maoni ya jana na kusema kuwa, kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Kikao cha G7 na hitilafu za ndani
Apr 24, 2018 01:52Kikao cha siku mbili cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa G7 kimemaliza kazi zake huko Toronto nchini Canada.
-
Msichana mdogo Muislamu ashambuliwa kutokana na Hijabu yake nchini Canada
Jan 13, 2018 04:18Polisi wa mjini Toronto Canada wametangaza habari ya kushambuliwa binti mmoja mdogo Muislamu kutokana na kuvaa Hijabu.
-
Maadui wa Uislamu wapinga kutangazwa siku ya kupambana na chuki dhidi ya Waislamu nchini Canada
Jan 10, 2018 01:07Kundi la mrengo wa kulia la maadu wa Uislamu katika mji wa Quebec nchini Canada wamepinga ombi la Waislamu la kutangazwa rasmi siku ya kupambana na chuki dhidi ya Waislamu kama njia ya kukumbuka tukio la kushambuliwa kwa risasi msikiti wa Quebec.
-
Wanawake Waislamu Quebec, Canada wapigwa marufuku kuvaa niqab
Oct 19, 2017 04:19Jimbo la Quebec nchini Canada limepaisha sheria za kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa Hijabu yenye kufunika uso mzima maarufu kama niqab wakiwa wanatumia huduma za umma.
-
Canada yatangaza kuwaunga mkono Waislamu wa Myanmar
Sep 17, 2017 23:13Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Canada ameeleza wasiwasi mkubwa alionao kuhusiana na hali mbaya wanayokabiliwa nayo Waislamu wa jamii ya Rohingya wa nchini Myanmar.
-
Ijumaa, Septemba 8, 2017
Sep 07, 2017 22:15Leo ni Ijumaa tarehe 17 Mfunguo Tatu Dhulhaji, 1438 Hijria, sawa na tarehe 8 Septemba, 2017 Milaadia.
-
Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel
Sep 05, 2017 23:11Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi katika sekta binafsi nchini Canada imetangaza rasmi kujiunga na 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji wa Israel' maarufu kwa jina la BDS.
-
Waislamu wa Canada wafanya sherehe ya kutangaza Uislamu halisi
Aug 28, 2017 23:56Waislamu wa mkoa wa Alberta nchini Canada wamefanya sherehe iliyopewa jina la 'Siku ya Turathi za Kiislamu' kwa lengo la kuitangaza dini ya Uislamu kwa watu wasiokuwa Waislamu.
-
Mamia ya watu wasio na hatia wafariki dunia katika jela za Canada
Aug 03, 2017 23:00Uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa, karibu watu 270 ambao yapata thuluthi mbili yao hawakuwa na kosa lolote la kisheria, wamefariki dunia katika jela za Canada katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.