Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Ripoti: Saudia inatumia silaha za Canada kuwakandamiza raia wake

    Ripoti: Saudia inatumia silaha za Canada kuwakandamiza raia wake

    Aug 01, 2017 16:59

    Serikali ya Ottawa imesema inachunguza madai yaliyotolewa na vyombo vya habari na mashirika ya kiraia kuwa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia unatumia silaha zilizotengenezwa Canada katika ukandamizaji na jinai dhidi ya raia wake.

  • Wacanada waandamana kupinga ziara ya familia ya Trump katika mji wa Vancouver

    Wacanada waandamana kupinga ziara ya familia ya Trump katika mji wa Vancouver

    Jul 13, 2017 08:21

    Wakazi wa mji wa Vancouver, Canada wamefanya maandamano makubwa kupinga ziara ya familia ya Rais Donald Trump wa Marekani katika mji huo.

  • Jumamosi, Julai Mosi, 2017

    Jumamosi, Julai Mosi, 2017

    Jul 01, 2017 02:16

    Leo Jumamosi tarehe 6 Mfunguo Mosi Shawwal 1438 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai mwaka 2017 Miladia.

  • Hujuma za chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka Canada, Waislamu waonya

    Hujuma za chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka Canada, Waislamu waonya

    May 24, 2017 02:19

    Taasisi ya Waislamu ya mjini Quebec nchini Canada imeonya juu ya ongezeko la vitendo vya chuki dhidi ya wafuasi wa dini hiyo mjini hapo.

  • Waislamu Canada: Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongezeka mara mbili zaidi

    Waislamu Canada: Hujuma dhidi ya Waislamu zimeongezeka mara mbili zaidi

    Mar 19, 2017 16:13

    Baraza la Kitaifa la Waislamu nchini Canada, limeonya juu ya ongezeko la vitendo vya chuki dhidi ya dini ya Uislamu nchini humo.

  • Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe

    Watu wa Canada wataka bidhaa za Israel zisusiwe

    Mar 03, 2017 13:37

    Watu wa Canada wametaka bidhaa zinazotegenezwa Israel zisusiwe nchini humo kama njia ya kutetea haki za taifa la Palestina.

  • Msikiti mwingine washambuliwa na watu wenye chuki Canada

    Msikiti mwingine washambuliwa na watu wenye chuki Canada

    Feb 04, 2017 04:33

    Polisi ya Canada imetangaza habari ya kushambuliwa msikiti na watu wenye chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika mji wa Montreal nchini humo.

  • Mauaji ya Waislamu msikitini Canada yaendelea kulaaniwa

    Mauaji ya Waislamu msikitini Canada yaendelea kulaaniwa

    Feb 04, 2017 03:56

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema makundi fisadi na ya kibepari yaliyo nyuma ya pazia yanapaswa kuwajibishwa kufuatia mauaji ya Waislamu dani ya msikiti huko Quebec Canada na maeneo mengine ya dunia.

  • Aliyetekeleza mauaji msikitini Canada ni mfuasi sugu wa Trump

    Aliyetekeleza mauaji msikitini Canada ni mfuasi sugu wa Trump

    Feb 01, 2017 04:20

    Mwanafunzi wa chuo kikuu aliyetekeleza mauaji dhidi ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakisali katika msikiti mmoja mjini Quebec nchini Canada siku chache zilizopita ni mtu mwenye misimamo ya mrengo wa kulia na mfuasi sugu wa Donald Trump, Rais wa Marekani.

  • Misikiti yafungwa Uholanzi kufuatia shambulizi la Quebec, Canada

    Misikiti yafungwa Uholanzi kufuatia shambulizi la Quebec, Canada

    Jan 31, 2017 13:24

    Misikiti minne ya Jamia nchini Uholanzi inatazamiwa kufungwa kutokana na kushadidi chuki dhidi ya Waislamu, siku mbili baada ya shambulizi la kikatili dhidi ya msikiti na kituo cha kidini mjini Quebec nchini Canada.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS