Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Qassemi alaani shambulio la kigaidi katika kituo cha Kiislamu Canada

    Qassemi alaani shambulio la kigaidi katika kituo cha Kiislamu Canada

    Jan 31, 2017 04:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililofanywa dhidi ya kituo cha Kiislamu huko Quebec nchini Canada.

  • Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini

    Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini

    Jan 31, 2017 04:09

    Baada ya kuongezeka hisia za chuki na uadui dhidi ya Waislamu huko Amerika Kaskazini hususan baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump nchini Marekani, hivi sasa matokeo mabaya ya jambo hilo yameanza kuonekana.

  • 5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada

    5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada

    Jan 30, 2017 07:38

    Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.

  • Msomaji habari wa kwanza mwenye kuvaa Hijabu awavutia wengi Canada

    Msomaji habari wa kwanza mwenye kuvaa Hijabu awavutia wengi Canada

    Nov 26, 2016 16:48

    Mwandishi habari wa kwanza wa kike kusoma habari akiwa amevaa vazi la Kiislamu la Hijabu nchini Canada amewavutia watu wengi nchini humo.

  • Polisi ya Canada yaahidi kushirikiana zaidi na Waislamu

    Polisi ya Canada yaahidi kushirikiana zaidi na Waislamu

    Oct 30, 2016 03:55

    Jeshi la polisi la mjini Toronto Canada limeteua afisa maalumu wa masuala ya kidini kwa ajili ya kuwasaidia na kuwaunga mkono kimaanawi maafisa wa polisi Waislamu na kuwa kiungo baina ya polisi na Waislamu wa nchi hiyo.

  • Huffington Post: Idadi ya wanawake wakazi asili wa Canada waliouawa ni kubwa zaidi

    Huffington Post: Idadi ya wanawake wakazi asili wa Canada waliouawa ni kubwa zaidi

    Feb 19, 2016 03:39

    Gazeti la Marekani la The Huffington Post limeripoti kuwa idadi ya wanawake asilia wa Canada waliouawa au kutoweka ni kubwa zaidi ya takwimu zilizokadiriwa hapo awali.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS