-
Ayatullah Siddiqi: Demokrasia ya Uliberali imefika ukingoni
Dec 14, 2018 12:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema demokrasia ya uliberali duniani ipo ukingoni kusambaratika na kutoweka kikamilifu.
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema demokrasia ya uliberali duniani ipo ukingoni kusambaratika na kutoweka kikamilifu.