-
Pentagon ina wasiwasi Marekani itashindwa endapo itaingia vitani na China
May 17, 2020 03:31Baadhi ya duru katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon zimeonya kuwa kutokana na mazoezi ya karibuni kabisa yaliyofanywa na jeshi la nchi hiyo, endapo jeshi hilo litaingia vitani na China katika Bahari ya Mediterania litashindwa katika vita hivyo.
-
Vitisho vikubwa vya Trump kwa China; upayukaji au kampeni za uchaguzi?
May 16, 2020 02:05Tangu alipoingia madarkani Donald Trump huko Marekani, rais huyo mwenye majigambo mengi amekuwa akifuata siasa maalumu dhidi ya China na kuishinikiza Beijing katika pande mbalimbali.
-
Trump: Sitaki kuzungumza na Rais Xi, huenda tutakata uhusiano wetu na China
May 15, 2020 08:00Rais Donald Trump wa Marekani amesema haoni umuhimu wowote wa kufanya mazungumzo na mwenzake wa China, Xi Jinping, kauli ambayo inaweka bayana kuzidi kuharibika uhusiano wa Washington na Beijing wakati huu wa janga la kimataifa la corona.
-
Algeria: Hamaki za wengine hazitotufanya tuvunje uhusiano wetu na China
May 14, 2020 03:22Msemaji wa Ikulu ya Algeria amesema kuwa, uhusiano wa nchi yake na China ni mzuri, uko wazi na ni wa kipekee, hivyo hamaki za wengine haziishughulishi Algiers na itaendeleza uhusiano wake huo na China kama kawaida.
-
China yakaribisha kujiunga na ubunifu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika kupambana na Corona
May 07, 2020 21:50Serikali ya China imekaribisha kujiunga na ubunifu wa ushirikiano wa kimataifa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ajili ya kukabiliana na virusi hatari vya Corona.
-
Uingereza na Russia zapinga madai ya Marekani kuhusu China na chanzo cha COVID-19
May 06, 2020 20:08Waziri wa Afya wa Uingereza amesema kuwa, madai ya Marekani kuwa chanzo cha kirusi cha corona ni katika maabara, hayana ushahidi wowote.
-
Kuendelea mgogoro wa Corona na sisitizo la Marekani la kuiadhibu China
May 03, 2020 21:52Sambamba na kuendelea mgogoro wa Corona na kuongezeka idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo nchini Marekani, Rais Donald Trump anaendelea kufanya njama za kuitwisha mzigo wa suala hilo serikali ya China ili kwa njia hiyo aweze kusalimika na ukosoaji pamoja na mashinikizo ya kijamii kutokana na utendaji mbovu wa serikali yake katika kukabiliana na Corona.
-
Kushindwa kupitishwa azimio la kusitisha vita dunia nzima kutokana na tofauti za Marekani na China
May 01, 2020 21:03Kuenea virusi vya corona dunia nzima na maradhi ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi hivyo na hali maalumu ya dharura inayotawala ulimwenguni hivi sasa kumeongeza maradufu umuhimu wa kuwepo mshikamano mkubwa zaidi kimataifa; na kwa sababu hiyo Umoja wa Mataifa umetaka kukomeshwa mapigano yanayoendelea katika maeneo tofauti ya dunia.
-
China yakosoa uamuzi wa kivamizi wa utawala haramu wa Kizayuni
Apr 30, 2020 06:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amekosoa vikali njama chafu za utawala haramu wa Kizayuni za kutaka kuyaunganisha maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
China yarudisha mapigo, yasema Marekani inasema uongo ili kuficha utendaji wake mbaya kuhusiana na corona
Apr 28, 2020 20:19China imeituhumu Marekani kwamba inamtafuta "mbuzi wa kafara" wa kumtwisha lamawa za kufeli kwa serikali ya Washington na utendaji wake mbaya katika kupambana na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.