Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran

    Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran

    Mar 05, 2020 22:54

    Ripoti ya mwisho kabisa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Iran, mbali na kudai kwamba Tehran haikuchunga mipaka iliyowekwa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, imetoa madai mengine mapya kuhusu Iran, mambo ambayo yamepingwa na mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 ambao unaundwa na nchi mbili za Russia na China.

  • Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu

    Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu

    Feb 28, 2020 08:30

    Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaushangaza ulimwengu kutokana na mbinu yake ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.

  • Chanjo ya kula iliyotengezwa China yatoa tumaini la kudhibitiwa kikamilifu kirusi cha corona

    Chanjo ya kula iliyotengezwa China yatoa tumaini la kudhibitiwa kikamilifu kirusi cha corona

    Feb 26, 2020 09:23

    Wizara ya Afya ya China imetangaza kuwa, chanjo ya kula iliyotengezwa nchini humo imeongeza matumaini ya kudhibitiwa kikamilifu kirusi kipya cha corona cha COVID-19.

  • Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona, asema nchi itashinda virusi hivyo wiki chache zijazo

    Naibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona, asema nchi itashinda virusi hivyo wiki chache zijazo

    Feb 25, 2020 12:18

    Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.

  • Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake

    Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake

    Feb 21, 2020 03:18

    Muelekeo wa madola ya Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima umekuwa wa kulikoloni, kulinyonya na kulipora utajiri wake bara hilo, pamoja na kuwakandamiza Waafrika wanaopigania nchi zo kuwa huru na kujitawala.

  • China mbioni kutibu wagonjwa wa COVID-19 (Corona),  vitanda vya hospitali vyaongezwa

    China mbioni kutibu wagonjwa wa COVID-19 (Corona), vitanda vya hospitali vyaongezwa

    Feb 20, 2020 08:55

    China imetangaza kuwa inafanya juhudi zote kuwatibu wagonjwa wa homa ya COVID-19 inayosababishwa na virusi vya Corona katika mji wa Wuhan ambao ndio kitovu cha mlipuko wa virusi hivyo.

  • Kamisheni ya Afya ya China yaripoti vifo vipya 136 vya maambukizo ya Corona

    Kamisheni ya Afya ya China yaripoti vifo vipya 136 vya maambukizo ya Corona

    Feb 20, 2020 00:54

    Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China imetangaza habari ya kuaga dunia wagonjwa wapya 136 walioambukizwa virusi vya Corona nchini humo na hivyo kuifanya idadi kamili ya watu waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo kufikia 2,004 kote nchini humo.

  • China yasisitiza kuwa serikali ya Marekani ni ya kijasusi

    China yasisitiza kuwa serikali ya Marekani ni ya kijasusi

    Feb 18, 2020 23:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza serikali ya Marekani imesimama katika msingi wa ujasusi wa kimtandao duniani.

  • Waliofariki kwa virusi vya Corona China wapindukia 1,523, Misri yathibitisha mwathirika wa kwanza Afrika

    Waliofariki kwa virusi vya Corona China wapindukia 1,523, Misri yathibitisha mwathirika wa kwanza Afrika

    Feb 15, 2020 10:55

    Wizara ya Afya ya China imetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini humo imefikia 1,523.

  • 242 waaga dunia China kwa Corona katika siku moja, maafisa wa afya Wuhan wafutwa kazi kwa uzembe

    242 waaga dunia China kwa Corona katika siku moja, maafisa wa afya Wuhan wafutwa kazi kwa uzembe

    Feb 13, 2020 08:36

    Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na virusi vya Corona (COVID-19) nchini China imeongeza baada ya Jumatano ya jana kusajiliwa vifo vya wahanga 242 wa virusi hivyo katika siku moja tu katika mkoa wa Wuhan na maambikizi ya wengine elfu 15.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS