-
Mgogoro wa virusi vya Corona Duniani
Feb 12, 2020 08:32Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi cha Makala ya Wiki ambacho leo kitatupia jicho mgogoro uliosababishwa na virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kuua watu na kusambaa katika nchi mbalimbali duniani. Ni matarajio yangu kwamba ntakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Corona yapewa jina jipya, walioaga dunia kwa virusi hivyo ni zaidi ya 1,100
Feb 12, 2020 04:21Idadi ya watu waliofariki dunia nchini China kutokana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona imepindukia 1,113 huku maafisa wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wakitangaza kuwa, kiwango cha maambukizi mapya bado hakijapungua.
-
Waliofariki kwa virusi vya corona China wafikia 722, walioambukizwa waongezeka hadi 34,546
Feb 08, 2020 10:30Idadi ya watu walioaga dunia nchini China kwa ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha corona imeongezeka na kufikia 722 na walioambukizwa kirusi hicho hadi kufikia leo ni watu 34,546.
-
China yaishukuru Iran kwa kutuma misaada ya kitiba kwa ajili ya janga la Corona
Feb 08, 2020 04:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutuma misaada ya kitiba kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya Corona nchini humo.
-
Uchunguzi: Maambukizi ya virusi vya Corona yamepungua nchini China
Feb 06, 2020 21:40Uchunguzi uliofanywa na timu ya wataalamu na madaktari nchini China pamoja na takwimu rasmi zinaonyesha kuwa idadi ya waathirika na vifo vinavyotokana na maambukizi ya virusi vya Corona, inaendelea kupungua.
-
Marekani yatumia vibaya virusi vya Corona, yasema ni fursa ya kuimarisha uchumi wake
Feb 04, 2020 03:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameikosoa Marekani akisema imekuwa ikieneza anga ya hofu na wasiwasi tangu virusi vya Corona vilipolipuka nchini humo na kuongeza kuwa, Washington haijatoa msaada wowote katika uwanja huo.
-
Kifo cha kwanza cha mgonjwa na virusi vya Corona nje ya China charipotiwa Ufilipino
Feb 02, 2020 08:02Ufilipino imetangaza mapema leo Jumapili kwamba, imesajili kifo cha kwanza cha mtu aliyekuwa na virusi vya Corona nchini humo. Taarifa hiyo ya serikali ya Ufilipino imetolewa huku nchi mbalimbali duniani zikiwa katika pilikapilika na wasiwasi mkubwa kutokana na kasi ya kusambaa kirusi hicho hatari kinachoendelea kuua watu siku baada ya nyingine.
-
Waliofariki kwa virusi vya corona China wafikia 259, walioathirika ni 11,791
Feb 01, 2020 04:15Kamisheni ya Taifa ya Afya ya China imetangaza kuwa idadi ya watu waliofariki dunia nchini humo kutokana na virusi vya corona imefikia 259.
-
Shirika la ndege la Ethiopia limesitisha safari zake kuelekea China kufuatia mlipuko hatari wa virusi vya Corona
Jan 30, 2020 23:11Shirika la Ndege la Ethiopia jana lilisitisha safari zake zote nchini China kufuatia kuibuka mlipuko wa ugonjwa hatari wa virusi vya Corona ambao hadi sasa umeuwa watu wasiopungua 170.
-
Wakati China ikiunda kifaa cha kugundua haraka virusi vya Corona, Tanzania yatenga maeneo ya kuwatibu waathirika
Jan 29, 2020 12:21Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema kuwa mtu yeyote atakayepata virusi vya Corona nchi humo, atatibiwa katika maeneo yaliyotengwa ya mikoa mitatu ya Kilimanjaro, Dar es Salaam na Mwanza.