-
Kirusi cha Corona chafika Imarati, Taiwan na Sudan, idadi ya waliofariki dunia inaongezeka
Jan 29, 2020 10:45Kirusi hatari cha Corona kimeripotiwa kufika katika nchi za Imarati na Taiwan huku idadi ya watu wanaofariki dunia na kuambukizwa kirusi hicho ikiongezeka kwa kasi.
-
Kirusi cha Corona chasambaa katika nchi zaidi ya 15, waliofariki China sasa wafika 132
Jan 29, 2020 04:33Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kirusi cha Corona nchini China imeongezeka na kufikia 132.
-
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inalenga kupanua wigo wa makabiliano na Russia, China
Jan 29, 2020 03:10Katika zama za utawala wa Rais Donlad Trump, Marekani imekithirisha makabiliano na Russia na China ambazo ni washindani wake wakuu katika uga wa kimataifa. Sera hiyo ya utawala wa Trump ilitiliwa mkazo katika Waraka wa Kistratijia wa Usalama wa Taifa la Marekani mwaka 2018.
-
Serikali ya China: Virusi vya Corona vimeuwa watu 106 hadi sasa, kesi mpya 1,771 zimeripotiwa
Jan 28, 2020 04:08China imeripoti kuaga dunia watu wengine kadhaa na kuongezeka idadi ya watu waliombukizwa virusi vya Corona huku wanasayansi wakijaribu kukielewa kirusi hicho kipya na namna kinavyoenea.
-
WHO: Kuna uwezekano wa kuongezeka maambukizi ya kirusi cha Corona huko China
Jan 24, 2020 23:42Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kuna uwezekano kesi za maambukizo ya kirusi cha Corona zikaongezeka huko China na kwamba ni mapema mno kutathmini makali ya maambukizo hayo.
-
Nchi za Afrika zachukua tahadhari ya kukabiliana na virusi vya Corona
Jan 24, 2020 11:26Nchi za Afrika mashariki zimetangaza hatua na mipango ya kukabiliana na virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya kupumua huku idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mlipuko wa virusi hivyo nchini China ikiongezeka na kufikia 26.
-
Alkhamisi tarehe 23 Januari 2010
Jan 22, 2020 22:57Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Jamadil Awwal 1441 Hijria sawa na Januari 23 mwaka 2020.
-
"Kirusi cha China" chazusha hofu duniani, watu 6 wameaga dunia hadi sasa
Jan 21, 2020 09:11Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, litafanya kikao kesho Jumatano kutazama uwezekano wa kutangaza tahadhari ya kimataifa ya afya ya umma baada ya China kuthibitisha kwamba, kirusi hicho kinaambukizwa kupitia mawasiliano baina ya binadamu.
-
Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq
Jan 07, 2020 23:17Jinai za Marekani huko Iraq hususan shambulio lake la kijeshi dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi katika mpaka wa pamoja wa Iraq na Syria, zimekabiliwa na malalamiko makubwa ya Wairaqi ambao walifanya maandamano na kukusanyika katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Iran na China zajadili njia za kuinusuru JCPOA
Dec 31, 2019 04:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China wamekutana mjini Beijing na kujadiliana juu ya njia na mikakati ya kuyanusuru makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.