Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Mazoezi ya kijeshi ya Iran, Russia na China yanaendelea kama ilivyopangwa

    Mazoezi ya kijeshi ya Iran, Russia na China yanaendelea kama ilivyopangwa

    Dec 28, 2019 09:59

    Mazoezi makubwa ya majeshi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China leo yameingia siku ya pili na yanaendelea kama ilivyopangwa.

  • Mousavi: Wadau wote duniani wana mchango katika zama za baada ya Magharibi

    Mousavi: Wadau wote duniani wana mchango katika zama za baada ya Magharibi

    Dec 28, 2019 00:36

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Hivi sasa, sisi tunaishi katika dunia ya baada ya enzi za Magharibi, ambapo wadau wote duniani wana mchango katika mahusiano ya zama hizo."

  • Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Iran, China, Russia; kigezo chenye ufanisi cha kieneo kuhusu usalama

    Mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya Iran, China, Russia; kigezo chenye ufanisi cha kieneo kuhusu usalama

    Dec 27, 2019 20:55

    Kufanyika mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini ya Iran, Russia na China katika eneo lenye umuhimu wa kistratijia la kaskazini mwa Bahari ya Hindi na Bahari ya Oman ni ushirikiano wa kieneo usiohusisha madola ajinabi.

  • Mahathir Mohammad.: Malaysia itawapa hifadhi wakimbizi wa Uyghur kutoka China

    Mahathir Mohammad.: Malaysia itawapa hifadhi wakimbizi wa Uyghur kutoka China

    Dec 27, 2019 09:14

    Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesema kuwa nchi yake haitawarejesha makwao Waislamu wa jamii ya Uyghur kutoka China iwapo wataomba hifadhi nchini humo.

  • Iran, Russia na China zaanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Bahari ya Hindi

    Iran, Russia na China zaanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Bahari ya Hindi

    Dec 27, 2019 06:21

    Mazoezi ya kijeshi ya baharini yanayoshirikisha majeshi ya majini ya nchi tatu za Iran, Russia na China yameanza leo Ijumaa kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa kaulimbiu ya "Amani, Urafiki na Usalama Endelevu Chini ya Kivuli cha Ushirikiano na Umoja".

  • Maneva ya Iran, Russia na China; maneva ya pande tatu iliyo na ujumbe wa kimataifa

    Maneva ya Iran, Russia na China; maneva ya pande tatu iliyo na ujumbe wa kimataifa

    Dec 26, 2019 06:56

    Maneva ya kwanza ya baharini kati ya nchi tatu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na China itafanyika hivi karibuni kaskazini mwa Bahari ya Hindi na ya Oman kwa lengo la kuimarisha usalama wa biashara ya kimataifa katika eneo hilo.

  • Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga

    Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga

    Dec 22, 2019 23:10

    Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na washirika wake umepelekea kurejea nyuma makundi ya kigaidi kwenye ngome zao za mwisho yaani katika mkoa wa Idlib.

  • Indhari ya China kwa hatua ya Marekani ya kuzigeuza anga za mbali kuwa uwanja wa vita

    Indhari ya China kwa hatua ya Marekani ya kuzigeuza anga za mbali kuwa uwanja wa vita

    Dec 20, 2019 23:09

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa indhari kuhusu hatari ya anga za mbali kugeuzwa kuwa uwanja na medani mpya ya vita. Indhari na onyo hilo la China limetolewa kama jibu na radiamali kwa sheria ya ulinzi wa taifa iliyopitishwa na serikali ya Marekani.

  • China yatoa radiamali yake baada ya Marekani kuwatimua wanadiplomasia wake kutoka Washington

    China yatoa radiamali yake baada ya Marekani kuwatimua wanadiplomasia wake kutoka Washington

    Dec 17, 2019 22:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China sambamba na kukosoa vikali hatua ya Marekani ya kuwatimua wanadiploamasia wake kutoka Washington, imeitaka White House kuangalia upya msimamo wake huo ili izuie kuharibika zaidi uhusiano wa nchi mbili.

  • Kusitishwa vita vya kibiashara kati ya China na Marekani

    Kusitishwa vita vya kibiashara kati ya China na Marekani

    Dec 15, 2019 08:24

    Hatua ya Marekani na China kutangaza kufikiwa makubaliano ya awali ya kibiashara, imesitisha vita vya kibiashara kati ya pande mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS