-
Iran na China zafanya mazungumzo kuhusu JCPOA
Dec 01, 2019 03:51Iran na China zimekutana katika kikao cha mashauriano kuhusu namna ya kulinda vipengee vya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
China: Siasa za Marekani katika uga wa kibiashara zinabainisha malengo yake ya kishetani
Nov 28, 2019 23:02Serikali ya China imesisitiza kwamba hatua mbovu za baadhi ya viongozi wa Marekani kuihusu Beijing, zinabainisha malengo yao ya kishetani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China akosoa hatua za upande mmoja za Marekani
Nov 25, 2019 04:07Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametoa matamshi makali na kukosoa hatua na misimamo ya upande mmoja ya Marekani dhidi ya China na kueleza kuwa Washington ni chanzo kikuu cha ukosefu wa amani duniani.
-
Meli za Kivita za Marekani Zaingia Bahari ya Kusini ya China, wakuu wa China watoa onyo kali
Nov 22, 2019 04:04Meli mbili za kivita za Marekani zimepita karibu na visiwa vinavyomilikiwa na China katika eneo linalozozaniwa la Bahari ya Kusini ya China, hatua ambayo imelalamikiwa vikali na wakuu wa China ambao wameitaja kuwa ya kichokozi.
-
China: Tupo tayari kupunguza kiwango cha silaha zetu za nyuklia, lakini hatupo tayari kuzungumza na Marekani
Nov 09, 2019 04:41Mkuu wa kitengo cha kudhibiti silaha katika Wizara ya Mambo ya Nje ya China, amesema kuwa nchi hiyo ipo tayari kupunguza kiwango cha silaha zake za nyuklia.
-
China: Tutakabiliana na wanaotaka kujitenga jimbo la Hong Kong
Nov 08, 2019 01:09Naibu Waziri Mkuu wa China ametoa onyo kali kwa kusema kamwe serikali ya nchi hiyo haitovumilia harakati za kujitenga eneo la Hong Kong.
-
Sudan yazindua satalaiti yake ya kwanza iliyounda kwa ushirikiano na China
Nov 06, 2019 11:56Sudan imezindua kwa kurusha angani satalaiti yake ya kwanza itakayoshughulika na utafiti wa kijeshi, kiuchumi na wa tekonolojia ya anga za mbali. Akizungumza katika kikao na maafisa waandamizi wa usalama, mkuu wa Baraza Kuu la Utawala la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametangaza kuwa, satalaiti hiyo imetengezwa kwa ushirikiano na Jamhuri ya Watu wa China.
-
Velayati: Uhusiano wa Iran na China ni wa kistratejia
Oct 23, 2019 04:34Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Anayehusika na Masuala ya Kimataifa amesema kuwa uhusiano wa siku zote wa Iran na China ni wa kistratejia.
-
China yaitahadharisha Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya Hong Kong
Oct 16, 2019 08:32Serikali ya China imeendelea kulaani vikali uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong, kwa kupasisha muswada uliopewa jina la 'Haki za binaadamu na demokrasia.'
-
China kuzindua kombora la nyuklia linaloweza kufika Marekani katika muda wa dakika 30
Sep 30, 2019 09:03Kufuatia kushadidi mivutano ya kisiasa, kijeshi na kiuchumi kati ya Marekani na China, vyombo vya habari vya China vimeripoti kuwa, kwa mara ya kwanza, jeshi la nchi hiyo litazindua kombora la nyuklia lenye uwezo wa kufika Marekani ndani ya muda wa dakika 30.