-
China yalaani vikwazo vya Marekani dhidi yake kwa kununua mafuta ya Iran
Sep 26, 2019 08:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa China amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya nchi hiyo ya Asia kwa kuendelea kununua mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kumalizika kusikoeleweka kwa mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na China
Sep 22, 2019 23:10Siasa za kimaslahi na za upendeleo wa kiuchumi zinazotekelezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambazo zinalenga kushadidisha mgogoro wa ushuru wa forodha, zimeibua vita vikubwa vya kibiashara kati ya nchi hiyo na China.
-
China yaionya Marekani kwa kuingilia mambo ya ndani ya Hong Kong
Sep 20, 2019 23:24Kwa mara nyingine Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa hatua yake ya kuingilia masuala ya ndani ya eneo la Hong Kong.
-
Baqeri: Iran iko tayari kulinda kikamilifu maslahi yake katika Ghuba ya Uajemi
Sep 12, 2019 06:56Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kulinda kikamilifu usalama na maslahi yake katika Ghuba ya Uajemi."
-
Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani
Aug 29, 2019 00:21Kwa karne kadhaa Wamagharibi wametekeleza ubeberu katika uga wa kimataifa iwe ni katika kipindi cha ukoloni au katika zama za ubeberu; daima walifanya unyonyaji dhidi ya wananchi na mataifa mengine ya dunia.
-
Zarif akiwa Beijing; ramani ya njia ya miaka 25 ya kutekeleza ushirika wa kistratijia baina ya Iran na China
Aug 27, 2019 02:52Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akiwa anaongoza ujumbe wa ngazi za juu, Jumapili alitembelea China.
-
Zarif: Uhusiano wa Iran na China ni wa pande zote na wa kistratejia
Aug 26, 2019 22:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na China ni wa pande zote na wa kistratejia.
-
Russia na China zaitisha kikao cha Baraza la Usalama la UN dhidi ya Marekani
Aug 22, 2019 01:05Maafisa wa Russia na China wametoa wito wa kufanyika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili mipango ya Marekani ya kustawisha makombora ya masafa ya kati ya kuyapeleka katika baadhi ya maeno ya dunia hususan Asia na Ulaya.
-
Ukosoaji mkali wa Russia na China dhidi ya majaribio ya kombora la Cruise la Marekani
Aug 21, 2019 03:11Mwezi uliopita Rais Trump wa Marekani aliendeleza sera yake ya kujiondoa katika makubaliano na mikataba ya kimataifa kwa kuiondoa nchi hiyo katika mkataba wa Slaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF). Hatua hiyo imetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni utangulizi wa ajenda kubwa zaidi ya serikali ya Washington ya kustawisha na kuzalisha silaha mpya.
-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir
Aug 15, 2019 22:05Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan Shah Mehmood Qureshi amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia, Sergey Lavrov kuhusiana na hali ya eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.