-
Jumanne tarehe 13 Agosti 2019
Aug 12, 2019 22:13Leo ni Jumanne tarehe 11 Dhulhija 1440 Hijria sawa na Agosti 13 mwaka 2019.
-
China yaionya Uingereza kuhusu kuchochea ghasia Hong Kong
Aug 11, 2019 03:10China imeionya Uingereza na kuitaka iache kuingilia mambo yake ya ndani baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Dominic Raab kutaka uchunguzi huru ufanyike kuhusu ghasia za hivi karibuni katika koloni lake la zamani, Hong Kong.
-
Radiamali ya Marekani kuhusiana na kufichuliwa njama ya uingiliaji wake Hong Kong
Aug 09, 2019 06:21Marekani imeikosoa China kwa kuonyesha picha za mwanadiplomasia wake aliyeonyeshwa akikutana kwa siri na viongozi wa harakati inayotajwa kuwa ya wanachuo wanaotetea demokrasia huko Hong Kong.
-
Serikali ya China yaamuru nembo za Kiarabu na Kiislamu ziondolewe katika mji mkuu Beijing
Jul 31, 2019 08:22Mamlaka za dola katika mji mkuu wa China, Beijing zimeiamuru mikahawa ya vyakula vilivyo halali kuliwa Kiislamu pamoja na vioski vya vyakula kuondoa maandishi ya Kiarabu na nembo zinazohusiana na Uislamu katika alama za majengo yao, ikiwa ni sehemu ya upanuzi wa kampeni ya kitaifa ya "KuChinisha" jamii ya Waislamu wa nchi hiyo.
-
Larijani: Kustawishwa uhusiano wa Iran na China ni kwa maslahi ya amani na usalama wa dunia
Jul 30, 2019 09:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kustawishwa uhusiano wa Tehran na Beijing ni kwa ajili ya amani na usalama wa dunia na kueleza kuwa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kuimarishwa uhusiano kati ya nchi mbili.
-
China: Marekani isicheze na moto katika kadhia ya Taiwan
Jul 12, 2019 11:08Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameionya vikali Marekani isijaribu kucheza na moto kuhusiana na suala la Taiwan, huku akikosoa vikali mpango wa Washington wa kukiuzia silaha kisiwa hicho ambacho Beijing inasisitiza kuwa ni milki yake.
-
Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani
Jul 06, 2019 08:25Rais wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo kamwe haitaruhusu uchumi wake uvurugwe na kurejeshwa nyuma kutokana na vita vya kibiashara vya Marekani, vilivyochechewa na wivu.
-
China yakosoa kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya mashirika yake
Jun 29, 2019 02:53Msemaji wa Wizara ya Biashara ya China amesisitizia udharura wa kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya mashirika ya nchi hiyo.
-
China yataka kuwepo mwafaka wa kimataifa wa kukabiliana na sera za mabavu za Marekani
Jun 28, 2019 02:31Mwakishi wa kudumu wa China katika jumuiya za kimataifa mjini Vienna ametoa wito wa kuwepo mwafaka wa kimataifa wa kukabiliana na hatua za kutumia mabavu na siasa za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Marekani.
-
China na Korea Kaskazini zakosoa siasa za kimabavu za Marekani
Jun 21, 2019 02:57Akizungumza na Rais Xi Jinping wa China, Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekosoa vikali siasa za uhasama za Marekani.