-
China yaitaka Marekani isitishe mashinikizo yake dhidi ya Iran
Jun 19, 2019 21:52China imeionya vikali Marekani kuhusu taathira hasi ya kutangaza kuwa itatuma wanajeshi 1,000 wa ziada katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati); huku ikiitaka Washington ikomeshe mashinikizo yake ya kuchupa mipaka dhidi ya Tehran.
-
Viongozi wa Russia na China wasisitiza kuendelea kuheshimiwa mapatano ya JCPOA, walaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 06, 2019 22:39Russia na China zikiwa nchi mbili muhimu wanachama wa kundi la 4+1 daima zimekuwa zikisisitiza udharura wa kulindwa mapatano ya kimataifa ya JCPOA na wakati huohuo kupinga vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Russia na China zalaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 06, 2019 03:19Marais wa Russia na China sanjari na kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran, lakini pia wamezitaka pande husika kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna yanayojulikana kama JCPOA.
-
China yapuuzilia mbali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 01, 2019 03:21Serikali ya China imepuuzilia mbali vikwazo vya mafuta vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Tehran na imeanza kuagiza shehena ya mafuta yake kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
China yaionya Marekani kuhusu kucheza na moto kwa kuiunga mkonoTaiwan
May 31, 2019 23:06China imesema Marekani ‘inacheza na moto’ kutokana na msururu wa hatua ambazo imezichukua katika Lango Bahari la Taiwan katika kuunga mkono jitihada za kujitenga kikamilifu kisiwa hicho.
-
China yaituhumu Marekani kuwa inatekeleza 'Ugaidi wa Kiuchumi'
May 30, 2019 07:10China imeituhumu Marekani kuwa inachochea kwa makusudi mizozo ya kibiashara ambayo ni sawa na 'ugaidi wa wazi wa kiuchumi.'
-
China na Russia kususia mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina, Bahrain
May 29, 2019 03:30Serikali za China na Russia zimetangaza kuwa hazitashiriki mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.
-
Meli za kivita za Marekani zafika mipaka ya China, hali ya taharuki yaendelea
May 20, 2019 06:12Jeshi la Marekani limetuma meli zake za kivita ambazo zimefika karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China katika hatua ambayo imewakasirisha wakuu wa Beijing na hivyo kupelekea hali ya taharuki kuendelea baina ya nchi hizo mbili ambazo tayari ziko katika vita vya kibiashara.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini China; mazungumzo ya kisiasa na kiuchumi
May 18, 2019 02:55Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif katika bara Asia iliendelea kwa kuutembelea mji mkuu wa China na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo na hivyo kufungua ukurasa mpya wa udiplimasia wa kieneo wa Iran.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na China
May 17, 2019 08:59Waziri wa Mashauri ya Kiigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo aliwasili Beijingi mji mkuu wa China amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Wang Yi.