-
Jitihada za China za kuleta maridhiano ya kitaifa Palestina
May 02, 2024 02:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ametangaza kuwa kufuatia mkutano wa wawakilishi wa harakati za Palestina za Hamas na Fat'h mjini Beijing, pande mbili zimefikia makubaliano ya kujadili maridhiano ya kitaifa huko Palestina.
-
Amir-Abdollahian: Iran haitoruhusu Israel kuhatarisha usalama wa ukanda huu
Apr 16, 2024 10:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaamini kwamba usalama na utulivu wa nchi za eneo hili zima ni muhimu sana kwake, bali ni sawa kabisa na usalama wake yenyewe na haitoruhusu utawala wa Kizayuni kuhatarisha usalama wa eneo hili kwa chokochoko zake.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 12:30Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Sierra Leone yapongeza msaada endelevu wa China kwa maendeleo ya miundombinu ya nchi hiyo
Mar 10, 2024 11:53Rais Julius Maada Bio wa Sierra Leone amepongeza msaada endelevu wa China kwa nchi yake katika maendeleo ya miundombinu ya nchi hiyo. Rais Bio ameeleza haya katika mahojiano aliyofanyiwa alipokuwa katika ziara ya kiserikali nchini China.
-
China yaunga mkono Palestina kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa
Mar 07, 2024 12:04Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesema nchi yake inaunga mkono Palestina kupewa uanachama "kamili" wa Umoja wa Mataifa na kuongeza kuwa takwa la muda mrefu la watu wa Palestina la kuanzisha nchi yao huru haliwezi kuepukika tena.
-
Russia, China: US inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 06, 2024 11:00Russia na China zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Iraq na Syria na kusisitiza kuwa, Washington ni tishio kwa usalama wa eneo zima la Asia Magharibi.
-
Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli
Feb 02, 2024 07:49Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema juhudi za Washington za kutafuta usaidizi na upatanishi wa China ili iwaombe Wayemen wasimamishe mashambulizi dhidi ya meli za Marekani na Uingereza zinazopita Bahari Nyekundu zinaonesha namna madola hayo mawili ya kibeberu yalivyofeli katika mipango yao.
-
Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen
Jan 27, 2024 02:34Wang Wenbing, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijatoa kibali kwa mtu yeyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen, akimaanisha hujuma na mashambulio ya kijeshi yanayofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya ngome na vituo vya harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
China yatoa tahadhari ya kuibuka tena mripuko wa COVID-19 kupitia spishi ya aina nyingine
Jan 16, 2024 06:54Maafisa wa Afya nchini China wametahadharisha juu ya uwezekano wa kuibuka tena mripuko wa ugonjwa wa COVID-19 katika mwezi huu wa Januari, utakaochochewa na kuongezeka maambukizi ya spishi mpya ya JN.1.
-
Ombi la serikali ya China kwa watu wa Taiwan
Jan 13, 2024 02:47Serikali ya China imewataka watu wa kisiwa cha Taiwan kutompigia kura William Lai, mgombea mkuu wa uchaguzi wa urais katika kisiwa hicho.