-
China yaijuza Marekani kwamba 'haitalegeza msimamo katu' juu ya Taiwan
Jan 10, 2024 06:19China imeapa kutekeleza bila kuyumbayumba msimamo wake wa kuiunganisha tena Taiwan na ardhi kuu ya nchi hiyo na kuitaka Marekani iache kukipatia silaha kisiwa hicho na kupunguza harakati zake katika Bahari ya China Kusini.
-
China yayawekea vikwazo makampuni matano ya Marekani kwa kuiuzia silaha Taiwan
Jan 08, 2024 06:39Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza vikwazo dhidi ya makampuni matano ya Marekani kwa kuiuzia Taiwan silaha.
-
Beijing yaionya Taipei huku uchaguzi ukikaribia kufanyika katika kisiwa cha Taiwan
Jan 05, 2024 07:44Huku uchaguzi mkuu wa rais na bunge ukikaribia kufanyika huko Taiwan tarehe 13 January, kiongozi wa ngazi ya juu ya China ameutaja uchaguzi huo kuwa chaguo kati ya vita na amani.
-
Kuimarika uhusiano wa Russia na China, changamoto kubwa kwa mfumo wa Magharibi duniani
Dec 23, 2023 04:41Katika ziara yake nchini China, Waziri Mkuu wa Russia amesema kuimarishwa uhusiano wa pande mbili ni kwa manufaa ya Moscow na Beijing.
-
Radiamali ya China kuhusu kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha vita Gaza
Dec 10, 2023 05:54Zhang Jun, mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa, ameitaja kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kuwa imeweka wazi siasa za kundumakuwili za Washington katika uwanja wa kimataifa.
-
Iran na China zakubaliana kuanzisha kituo cha pamoja cha mafunzo ya teknolojia mpya
Nov 12, 2023 02:56Wakuu wa Idara za Mafunzo za Wizara za Sayansi, Utafiti na Teknolojia za Iran na China wamekubaliana juu ya kuanzishwa kituo cha pamoja cha utoaji mafunzo ya kiufundi na kitaalamu na mafunzo ya teknolojia mpya.
-
Utunishaji misuli wa China sambamba na harakati za Marekani katika Bahari ya China Kusini
Nov 10, 2023 02:52China imetuma meli yake ya kivita ya kubeba ndege ya Shangong katika Bahari ya China Kusini sambamba na kufanyika maneva ya baharini kati ya Marekani, Korea Kusini na Ufilipino.
-
Radiamali ya China kuhusu ripoti ya mwaka ya Pentagon
Oct 28, 2023 02:22Wizara ya Ulinzi ya China imelaani ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kuhusu nchi hiyo.
-
Kupigiwa kura ya veto maazimio yanayohusu vita vya Ghaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Oct 27, 2023 07:27Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeshindwa kupasisha azimio Katika hali ambayo wananchi wa Ukanda wa Ghaza bado wanakabiliwa na mashambulizi ya kinyama na ya kutisha ya utawala wa Kizayuni ambapo utawala huo unazuia kufikishwa misaada ya dharura katika eneo hilo.
-
Russia: Kustawisha uhusiano wa kimkakati na China ni kipaumbele chetu cha kipekee
Oct 17, 2023 13:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa kustawisha uhusiano wa kimkakati na China ni kipaumbele cha kipekee kwa Moscow, na akauelezea uhusiano wa Moscow na Beijing kuwa ni kama mfano wa ushirikiano wa kiserikali kati ya madola makubwa yenye nguvu katika karne ya 21.