-
Msimamo wa China unaokinzana na Wazayuni kuhusu mgogoro wa Gaza
Oct 14, 2023 07:41Tangu siku za mwanzo kabisa za shambulio la kasi ya radi la Hamas dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu, msimamo wa China kuhusu suala hilo haukuziridhisha Marekani na Wazayuni.
-
Msimamo tofauti wa Russia na China kuhusu operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa
Oct 12, 2023 02:31Licha ya uungaji mkono kamili wa Marekani na washirika wake wa magharibi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya operesheni ya Kimbunga ya al-Aqswa na hata Washington kutuma misaada ya kijeshi na zana za kivita kwa utawala huo ghasibu, lakini Russia na China, yakiwa madola mawili hasimu na washindani wa Magharibi, yamechukua msimamo tofauti katika uwanja huu.
-
Jumapili, Mosi Oktoba, 2023
Oct 01, 2023 02:36Leo ni Jumapili tarehe 15 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2023 Miladia.
-
Kukiri kwa Borrell kwamba nchi zinazoendelea zinatafuta mbadala wa Magharibi
Sep 26, 2023 07:30Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, ameandika katika makala iliyochapishwa kwenye blogu yake akisema: "Sheria zinazotawala dunia zinachakaa na nchi zinazoendelea za kusini mwa dunia zinatafuta mbadala wa Magharibi."
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko China
Sep 23, 2023 11:32Rais Bashar al Assad wa Syria Alhamisi ya juzi tarehe 21 Septemba aliwasili katika mji wa Hangzhou mashariki wa China kwa lengo la kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Asia ya Hangzhou na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jin Ping wa nchi hiyo.
-
China: Haiwezekani Taiwan kupewa uanachama wa UN
Sep 16, 2023 04:43Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesema jitihada za maajinabi zinazoendelea za eti kutafuta uhuru wa Taiwan zitafeli.
-
Safari ya rais wa Venezuela nchini China kwa lengo la kuanzisha mfumo mpya wa dunia
Sep 10, 2023 04:40Sambamba na kupanuka uhusiano wa Venezuela na China, Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amewasili China kwa lengo la kuongeza uhusiano wa pande mbili, kuimarisha ushirikiano na kusaidia kuanzisha mfumo mpya wa dunia.
-
Rais Xi wa China 'kutoshiriki' mkutano ujao wa kundi la G20
Sep 05, 2023 10:53Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Li Qiang ataongoza ujumbe wa taifa hilo katika mkutano ujao wa kundi la G20 nchini India, hatua inayoashiria kuwa Rais Xi Jinping hatoshiriki kongamano hilo.
-
China: Magharibi ya Asia si eneo la kujifaragua dola kubwa lolote lile duniani
Aug 30, 2023 13:22Waziri wa Mambo ya Nje wa China amesisitiza kuwa Magharibi ya Asia si eneo la kujifaragua dola kubwa lolote lile duniani. Wang Yi ametoa sisitizo hilo katika kikao na Adel al-Asoumi, Spika wa Bunge la Waarabu mjini Beijing, na kubainisha kwamba Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) haijawahi katu kuwa eneo la faragha na kujifaragua kwa dola kubwa lolote lile; na mustakabali na hatima ya eneo lazima iamuliwe na nchi na watu wa eneo hilo.
-
Kuendelea Marekani kulitumia vibaya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Aug 17, 2023 13:07Serkali ya China imepinga ombi la Marekani na baadhi ya waitifaki wake la kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Korea Kaskazini.