-
Kikao cha pili cha kamati ya pande tatu za Iran, Saudi Arabia na China chafanyika Riyadh
Nov 20, 2024 08:26Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na China zimefanya kikao cha pili cha pande tatu huko Riyadh, Saudi Arabia kwa shabaha ya kufuatilia makubaliano yaliyofikiwa huko Beijing na kuimarisha kiwango cha ushirikiano.
-
China yaibainishia Marekani mistari yake minne myekundu ambayo haipasi kuvukwa
Nov 17, 2024 23:06Rais Xi Jinping wa China ameweka wazi mistari myekundu minne ambayo amesema haipasi kuvukwa na Marekani ili kuwepo uhusiano wenye usawa na sahihi kati ya nchi hizo mbili.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia alaani vikali mauaji ya Sinwar, asema nchi yake inaomboleza
Oct 19, 2024 23:16Waziri Mkuu wa Malaysia Anwar Ibrahim amelaani vikali mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar yaliyofanywa na vikosi vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Katika Siku ya Afya ya Akili Duniani, Katibu Mkuu wa UN asema: Hakuna afya bora bila afya ya akili
Oct 11, 2024 04:01Siku ya Afya ya Akili Duniani imeadhimishwa Oktoba 10 huku ikiripotiwa kuwa, mtu mmoja kati ya wanane duniani ana tatizo la afya ya akili.
-
China na Russia zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 10, 2024 03:43Wawakilishi wa Kudumu wa China na Russia katika Umoja wa Mataifa wameikosoa vikali Israel kwa kushindwa kutafuta amani na kuzuia juhudi za kukomesha mauaji ya watu wa Palestina.
-
Alkhamisi, Oktoba 10, 2024
Oct 10, 2024 00:03Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria sawa na tarehe 10 Oktoba mwaka 2024.
-
Jumanne tarehe Mosi Oktoba 2024
Oct 01, 2024 03:17Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1446 Hijria sawa na tarehe Mosi Oktoba 2024.
-
China yakosoa na kulaani jinai za Israel nchini Lebanon
Sep 21, 2024 23:28Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi ya kikatili, ya kutisha na yasiyo na mfano ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka ya nchi huru, sheria za kimataifa na za kibinadamu.
-
China: Marekani ndio tishio kubwa zaidi la nyuklia duniani
Aug 17, 2024 06:57Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema, Marekani ndiyo hatari kubwa zaidi kwa dunia endapo yatatokea mapigano ya nyuklia.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 20, 2024 23:00Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.