Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Wairaqi wanaelekea vituo vya kupigia kura kuchagua bunge la nne tangu baada ya enzi za Saddam

    Wairaqi wanaelekea vituo vya kupigia kura kuchagua bunge la nne tangu baada ya enzi za Saddam

    May 11, 2018 23:46

    Uchaguzi wa nne wa bunge unafanyika nchini Iraq hii leo tangu ulipoangushwa utawala wa kidikteta wa Saddam mwaka 2003 na wa kwanza baada ya kusambaratishwa na kutokomezwa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) katika nchi hiyo.

  • Wanawake waliojiunga na kundi la kigaidi ISIS wafungwa jela Iran

    Wanawake waliojiunga na kundi la kigaidi ISIS wafungwa jela Iran

    May 06, 2018 23:07

    Wanawake 16 waliokuwa wamejiunga na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh wamehukumiwa vifungo jela nchini Iran.

  • Wapiganaji wa Hashdu sh-Sha'abi wawaangamiza magaidi wa Daesh

    Wapiganaji wa Hashdu sh-Sha'abi wawaangamiza magaidi wa Daesh

    Apr 30, 2018 23:42

    Duru kutoka Iraq zimearifu kuwa wapiganaji wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi wamewaua magaidi kadhaa wa kundi la kitakfiri la Daesh katika mashambulizi waliyofanya katika eneo moja katika mpaka wa Iraq na Syria.

  • Kufichuliwa ushirikiano wa serikali ya Ufaransa na kundi la kigaidi la ISIS

    Kufichuliwa ushirikiano wa serikali ya Ufaransa na kundi la kigaidi la ISIS

    Apr 25, 2018 22:12

    Hivi karibuni kulisambaa ripoti kuhusu ushirikiano baina ya serikali ya Ufaransa na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS (Daesh) ambapo mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Lafarge la kutengeneza seruji alisema: "Tuliitaarifu serikali ya Ufaransa kuhusu malipo ya fedha kwa magaidi wa ISIS".

  • Iraq: Magaidi wa Daesh (ISIS) hawatatia tena mguu ndani ya ardhi yetu

    Iraq: Magaidi wa Daesh (ISIS) hawatatia tena mguu ndani ya ardhi yetu

    Apr 20, 2018 09:03

    Mshauri wa usalama wa taifa na mkuu wa harakati ya wananchi nchini Iraq amesema kuwa kinyume na zinvyoonesha baadhi ya propaganda, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), halitotia tena mguu nchini humo.

  • Gaidi wa Daesh aliyekuwa akichapa bakora na kunyonga watu Syria, anaswa nchini Uturuki akitoroka

    Gaidi wa Daesh aliyekuwa akichapa bakora na kunyonga watu Syria, anaswa nchini Uturuki akitoroka

    Apr 12, 2018 23:48

    Vyombo vya usalama nchini Uturuki vimetangaza kwamba, vimefanikiwa kumtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) aliyekuwa maarufu kwa kuchapa watu bakora na kutoa hukumu za kunyongwa idadi kubwa ya watu katika mji wa Raqqa nchini Syria.

  • Jeshi la Misri laua magaidi wanne Rasi ya Sinai

    Jeshi la Misri laua magaidi wanne Rasi ya Sinai

    Apr 08, 2018 22:08

    Jeshi la Misri linasema limewaua magaidi wane na kuwakamata wengine wengi katika oparesheni maalumu za kuwatimua magaidi walio katika eneo la Rasi ya Sinai.

  • Russia: Genge la Daesh (ISIS) linaunda ngome mpya nchini Afghanistan na Afrika

    Russia: Genge la Daesh (ISIS) linaunda ngome mpya nchini Afghanistan na Afrika

    Apr 05, 2018 02:59

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linaanzisha kambi mpya katika maeneo mengine hususan Afghanistan, baada ya kupata pigo kali kutoka kwa muungano wa Iran na Russia wa kupambana na magaidi nchini Syria.

  • Boroujerdi: Mipango ya Marekani Mashariki ya Kati imeshindwa kwa hima ya Iran

    Boroujerdi: Mipango ya Marekani Mashariki ya Kati imeshindwa kwa hima ya Iran

    Mar 22, 2018 23:48

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa,mipango na njama za Marekani katika Mashariki ya Kati imeshindwa kwa hima na juhudi za Iran.

  • Makumi wauawa katika shambulizi la Daesh mjini Kabul, Afghanistan

    Makumi wauawa katika shambulizi la Daesh mjini Kabul, Afghanistan

    Mar 21, 2018 10:33

    Kwa akali watu 29 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililolenga mkusanyiko wa watu waliokuwa wakiadhimisha sikukuu ya Nowruz, kuanza mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia, katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS