-
Zelenskyy akataa kuomba msamaha kwa Trump; Asema: "sikufanya lolote baya"
Mar 01, 2025 06:37Rais wa Ukraine amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House.
-
Kimenuka Marekani; Mawaziri wa zamani wa ulinzi wamjia juu Trump
Mar 01, 2025 00:18Mawaziri watano wa zamani wa ulinzi wa Marekani wamelaani hatua ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kumfukuza kazi Mkuu wa Majeshi na maafisa wengine wakuu wa jeshi la Marekani.
-
Trump arefusha muda wa vikwazo dhidi ya Russia
Feb 28, 2025 04:01Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kwa mwaka mmoja mwingine muda wa amri ya utekelezaji vikwazo dhidi ya Russia.
-
Waislamu Uhispania wahuisha mila ya karne 5 zilizopita ya Andalusia ya kwenda Hija kwa farasi
Feb 26, 2025 08:13Marafiki watatu kutoka Uhispania wameamua kutumia usafiri wa farasi katika safari yao ya kuelekea Makka, Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija yao kwa madhumuni ya kuhuisha mila na desturi ya tangu miaka 500 nyuma wa Waislamu wa Andalusia ya wakati huo.
-
Ubelgiji yalilaumu vikali Baraza la Usalama kwa kushindwa kulinda misingi ya Hati ya UN
Feb 26, 2025 08:08Naibu waziri mkuu wa Ubelgiji Maxime Prevot amesema "amesikitishwa sana" kuona Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshindwa kutuma ujumbe wazi wa kuunga mkono sheria za kimataifa, na akatoa wito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kimataifa za kulinda haki za binadamu na kuwawajibisha wakiukaji wa sheria.
-
Shirika la DAWN lataka ICC imchunguze Rais wa Marekani
Feb 24, 2025 23:27Shirika moja lisilo la serikali limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani, kutokana na mienendo yake dhidi ya maafisa wa korti hiyo ya kimataifa iliyoko The Hague huko Uholanzi.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump na sisitizo lake la kuendeleza sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran
Feb 21, 2025 23:00Akirejelea siasa zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amedai kuwa, siasa hizo zinalenga kuleta amani na kwamba Washington haitairuhusu Iran na nchi nyingine kupata silaha za nyuklia.
-
Trump asisitiza tena kuigeuza Canada jimbo la 51 na kuzipora Greenland na Mfereji wa Panama
Feb 21, 2025 07:17Rais Donald Trump wa Marekani amesisitiza tena juu ya nia yake ya kuiunganisha Canada na Marekani na kuifanya jimbo la 51 la nchi hiyo, pamoja na azma yake ya kulinyakua eneo la Greenland na Mfereji wa Panama.
-
EU yamkingia kifua Zelensky baada ya kushambuliwa vikali na Trump
Feb 21, 2025 03:20Mvutano kati ya Ulaya na Marekani umeendelea kushtadi, baada ya viongozi wa nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya kumkingia kifua Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine, aliyeshambulia kwa maneno makali na Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni.
-
Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina; Jinai mpya dhidi ya Wapalestina
Feb 20, 2025 04:40Leo tutaangazia jinai mpya ya Wazayuni na washirika wao ya kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina katika makazi na nchi yao.....