Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Jeshi la Sudan lasonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri

    Jeshi la Sudan lasonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri

    Feb 18, 2025 10:11

    Jeshi la Sudan limetangaza kuwa linaendelea kusonga mbele katika mji mkuu Khartoum na mji wa Bahri ulioko kaskazini mwake, na kutwaa udhibiti wa vitongoji kadhaa.

  • Msomi wa Misri amshambulia vikali Trump, aitaka Cairo kusimama kidete dhidi ya bwabwaja zake

    Msomi wa Misri amshambulia vikali Trump, aitaka Cairo kusimama kidete dhidi ya bwabwaja zake

    Feb 13, 2025 03:21

    Msomi wa Misri amemshambulia vikali Rais Donald Trump wa Marekani na kutoa wito wa kutolewa jibu kali dhidi ya kiongozi huyo akisema: "Lazima tusimame imara na ngangari dhidi ya Trump, na misaada ya Marekani inapaswa kupelekwa kuzimu."

  • Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina

    Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina

    Feb 12, 2025 03:10

    Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".

  • Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS

    Jibu la Russia kwa vitisho vya Trump dhidi ya BRICS

    Feb 10, 2025 23:14

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais Donald Trump wa Marekani la kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za BRICS iwapo dola itafutwa katika mabadilishano ya kibiashara ya nchi hizo, na kusisitiza kuwa ushirikiano wa nchi wanachama wa BRICS unalenga kuimarisha uwezo wa kijamii, kiuchumi na kibinadamu wa nchi hizo.

  • Trump arudia kutamka bila ya aibu kuwa amejitolea 'kuinunua Ghaza na kuifanya milki' ya Marekani

    Trump arudia kutamka bila ya aibu kuwa amejitolea 'kuinunua Ghaza na kuifanya milki' ya Marekani

    Feb 10, 2025 03:29

    Rais wa Marekani Donald Trump amerudia tena bila ya aibu kutoa pendekezo lake tata la kulinyakua na kulidhibiti eneo la Ukanda wa Ghaza, akisema amejitolea "kulinunua na kulimiliki" eneo hilo lililoharibiwa na vita.

  • Ujerumani yakosoa vikali hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC

    Ujerumani yakosoa vikali hatua ya Trump ya kuiwekea vikwazo ICC

    Feb 08, 2025 08:18

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Dunia yaalani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC/ Netanyahu ashukuru

    Dunia yaalani vikwazo vya Marekani dhidi ya mahakama ya ICC/ Netanyahu ashukuru

    Feb 08, 2025 04:28

    Nchi 79 duniani zimelaani vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya mjini The Hague, Uholanzi.

  • Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Donald Trump na kuanza tena sera iliyofeli ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Feb 06, 2025 08:57

    Jumanne ya Februari 4, 2025, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini hati ya utendaji ili kuendeleza sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran na kudai kwamba, "Yuko tayari kuzungumza na rais wa Iran."

  • Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza

    Arab League yapinga njama za Trump za kuipora Ghaza

    Feb 06, 2025 03:25

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League), imepinga njama mpya za rais wa Marekani, Donald Trump za kutaka kuipora Ghaza na kuwaondoa Wapalestina kwenye eneo lao hilo. Arab League imesema, mpango huo wa Trump ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

  • Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo

    Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo

    Feb 05, 2025 23:01

    Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo ya madini kwenda Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS