Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Oct 25, 2020 08:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Ethiopia ameyataja matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu bwawa la Renaissance kuwa ni jinai na uhalifu.

  • Wasiwasi wa Amnesty International kuhusu ghasia na machafuko katika kampeni za uchaguzi Marekani

    Wasiwasi wa Amnesty International kuhusu ghasia na machafuko katika kampeni za uchaguzi Marekani

    Oct 24, 2020 07:38

    Kupamba moto kampeni za uchaguzi nchini Marekani kwa katika kipindi hiki cha kukaribia tarehe ya uchaguzi wa rais hapo Novemba 3 mwaka huu, na jitihada za Rais Donald Trump wa nchi hiyo ambaye ni mgombea wa chama cha Republican za kutaka kuzusha hali ya mvutano katika jamii ya Marekani, vimeibua hali ya wasiwasi.

  •  Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Oct 21, 2020 08:48

    Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.

  • Wafuasi na wapinzani wa Trump wapambana vikali katika mji wa Boston

    Wafuasi na wapinzani wa Trump wapambana vikali katika mji wa Boston

    Oct 19, 2020 23:05

    Maafisa wa jimbo la Massachusetts nchini Marekani wamesema, kumetokea mapigano kati ya waungaji mkono na wapinzani wa rais Donald Trump katika jimbo hilo.

  • Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19

    Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19

    Oct 19, 2020 12:10

    Gazeti la Washington Post la Marekani limechapisha makala inayokituhumu chama tawala cha Republican kinachoongozwa na Donald Trump kuwa kinawakandamiza wapigakura weusi na kwamba kina malengo sawa na yale ya makundi ya wabaguzi wa rangi yanayoamini kuwa watu weupe ndio kizazi bora zaidi kuliko watu wa rangi nyingine.

  • Malalamiko ya wanawake dhidi ya Trump na mustakbali wa rais huyo wa Marekani

    Malalamiko ya wanawake dhidi ya Trump na mustakbali wa rais huyo wa Marekani

    Oct 19, 2020 02:47

    Katika siku zilizopita, wanawake nchini Marekani walifanya maandamano katika majimbo mbalimbali ya nchi hiyo likiwemo la Washington ili kutangaza upinzani wao kwa siasa za rais wa nchi hiyo, Donald Trump. Shabaha ya maandamano hayo ilikuwa ni kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji dhidi ya wanawake. Waendeshaji wa maandamano hayo waliahidi kuendelea na operesheni hiyo waliyoipa jina la maandamano 429 katika mikoa 50 ya Marekani.

  • Afisa mkuu wa zamani wa White House: Wamarekani tafakarini sana kabla ya kupiga kura ya urais

    Afisa mkuu wa zamani wa White House: Wamarekani tafakarini sana kabla ya kupiga kura ya urais

    Oct 18, 2020 11:23

    Mkuu wa zamani wa ofisi ya wafanyakazi wa Ikulu ya rais wa Marekani ya White House amesema, rais wa nchi hiyo Donald Trump ni mtu kigeugeu na akashauri kwamba, wapigakura wa Marekani watafakari sana kabla ya kumchagua rais wao ajaye.

  • Mitazamo ya Trump na Biden kuhusu Iran; madai ya ushindi mkabala na kukiri kwamba Marekani imetengwa

    Mitazamo ya Trump na Biden kuhusu Iran; madai ya ushindi mkabala na kukiri kwamba Marekani imetengwa

    Oct 17, 2020 22:58

    Katika kipindi hiki cha kukaribia uchaguzi wa Rais nchini Marekani tarehe 3 Novemba mwaka huu Rais Donald Trump wa nchi hiyo ambaye ni mgombea wa chama cha Republican na Joe Biden wa chama cha Democratic wamekuwa wakizungumzia kadhia ya Iran na mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika kampeni zao za uchaguzi lakini kwa mitazamo tofauti na inayokinzana.

  • Sisistizo la Russia la kushirikiana kijeshi na Iran baada ya kuondolewa vikwazo vya silaha

    Sisistizo la Russia la kushirikiana kijeshi na Iran baada ya kuondolewa vikwazo vya silaha

    Oct 16, 2020 23:12

    Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa vikwazo vya silaha vya Iran vinamalizika tarehe 18 mwezi huu wa Oktoba 2020 baada ya kumalizika muda wa miaka mitano wa vikwazo hivyo. Russia ikiwa mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama na moja kati ya nchi wanachama wa kundi la 4+1 imesisitiza kwamba itashirikiana kijeshi na Iran baada ya kumalizika vikwazo licha ya Marekani kufanya juhudi za kuongeza muda wa vikwazo hivyo.

  • UN: Hali imekuwa ya kutisha Marekani kutokana na uchochezi wa Trump

    UN: Hali imekuwa ya kutisha Marekani kutokana na uchochezi wa Trump

    Oct 15, 2020 23:06

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kutokana na uchochezi wa rais wa Marekani, Donald Trump, machafuko na ukatili unatokana na chuki na uadui umeongezeka mno nchini humo na sasa hivi umefikia kiwango cha hatari sana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS