-
Ndoto za alinacha za Trump za kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 13, 2020 22:53Rais Donald Trump wa Marekani akiwa na lengo la kujijengea nafasi nzuri wakati huu wa kukaribia uchaguzi nchini humo, anahitajia kutoa madai ya kufanikiwa katika sera za kigeni za nchi hiyo hasa kuhusiana na Iran.
-
Trump azuiwa kutumia bajeti ya masuala ya kijeshi kujenga ukuta wa mpakani
Oct 12, 2020 04:10Mahakama ya Rufaa nchini Marekani imetangaza kuwa ni marufuku na kupinga ombi la Trump aliyetaka kustafidi na bajeti ya kijeshi kwa ajili ya kujenga ukuta wa mpakani.
-
Trump anaitusi Iran kwa sababu amefeli katika njama zake dhidi ya Iran
Oct 11, 2020 04:31Mwenyekiti wa Baraza la Kistratijia la Sera za Kigeni la Iran, Dkt. Kammal Kharrazi, ametoa kauli kufuatia matamshi yaliyojaa matusi ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na kusema, Trump amepandwa na hasira baada ya kufeli njama zake dhidi ya Iran.
-
Pelosi ataka faili la hali ya kiafya ya Trump liwekwe wazi, Trump asema ni kichaa
Oct 09, 2020 23:02Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi amesema kuwa Wamarekani wana haja ya kujua hali ya kiafya ya Rais Donald Trump akiashiria maradhi yake ya virusi vya corona na kulazwa hospitalini kwa siku kadhaa.
-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 07:05Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.
-
Trump asema hatashiriki mdahalo wa urais kwa njia ya mtandao
Oct 08, 2020 23:06Rais Donald Trump amesema hatoshiriki mdahalo wa pili wa wagombea wa urais nchini Marekani iwapo utafanyika kwa njia ya intaneti.
-
Facebook, Twitter zavugumiza jumbe za upotoshaji za Trump kuhusu corona
Oct 07, 2020 04:24Mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imechukua hatua kali ya kukabiliana na jumbe za upotoshaji za Rais Donald Trump wa Marekani juu ya ugonjwa wa Covid-19.
-
Jitihada zilizofeli za Eric Trump kwa ajili ya kuakhirisha kusikilizwa kikao cha ukiukaji wa ulipaji kodi wa baba yake
Oct 06, 2020 08:36Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imetangaza kuwa mwana wa kiume wa Rais wa Marekani hastahili kuakhirisha kikao cha mahakama cha kusikiliza ukiukaji wa ulipaji kodi uliofanywa na baba yake hadi baada ya uchaguzi.
-
Pelosi: Timu ya utabibu ya Trump iseme ukweli
Oct 04, 2020 23:27Spika wa bunge la wawakilishi la Marekani amewataka madaktari wanaomhudumia Rais wa nchi hiyo kutoa taarifa sahihi kwa wananchi.
-
Hali ya Trump inaripotiwa kuwa mbaya, amelazwa hospitalini kwa corona
Oct 03, 2020 10:10Mmoja kati ya watu wa karibu sana kwa Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa hali ya kiafya ya kiongozi huyo ni mbaya na kwamba amehamishiwa katika hospitali ya kijeshi ya Walter Reed huko Bethesda, katika jimbo la Maryland.