-
NBC News: Trump sasa anatafunwa na istihzai zake kuhusu COVID-19
Oct 02, 2020 23:11Kanali ya televisheni ya NBC News ya nchini Marekani imesema kuwa, rais wa nchi hiyo, familia na wafuasi wake sasa wanatafunwa na matamshi ya istihzai na hatua zisizo sahihi za Donald Trump kuhusu ugonjwa wa COVID-19.
-
Trump afunguliwa mashitaka kwa kuiwekea vikwazo mahakama ya ICC
Oct 02, 2020 08:04Mawakili mashuhuri wa kutetea haki za binadamu wameufungulia mashitaka utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa hatua yake ya hivi karibuni ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Trump ni tishio kwa usalama wa Marekani
Oct 01, 2020 07:58Mkuu wa Kamisheni ya Habari katika Congress ya Marekani amesema Rais Donald Trump ni hatari na tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Yemen yawahukumu kifo Trump na Bin Salman
Oct 01, 2020 04:29Mahakama ya Jinai katika mkoa wa Saada nchini Yemen imewahukumu kifo watu kumi wakiwemo Rais wa Marekani, Donald Trump na mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman kwa kuhusika na shambulizi lililolenga basi la wanafunzi na kuua makumi miongoni mwao mwaka 2018.
-
Ufichuzi; Trump amekwepa kulipa kodi ya mapato kwa miaka 10
Sep 28, 2020 22:00Imebainika kuwa, Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akikwepa kulipa kodi ya mapato katika kipindi cha miaka 10 kati ya 15 iliyopita.
-
Kiongozi wa Republican apingana na Trump, asisitiza madaraka yatakabidhiwa kwa njia ya amani
Sep 26, 2020 04:21Kiongozi wa chama cha Republican katika Seneti ya Marekani Mitch McConnell ameungana na viongozi wengine wa chama hicho kutetea mfumo wa demokrasia ya kikatiba ya nchi hiyo na kupinga msimamo wa rais Donald Trump wa kukataa kukiri hadharani kwamba atakabidhi madaraka kwa amani baada ya uchaguzi wa urais utakaofanyika Novemba 3.
-
Newsweek: Serikali ya Trump inaficha ugaidi wa ndani unaofanywa na wazungu
Sep 25, 2020 04:53Jarida la kila wiki la Newsweek nchini Marekani limechapisha makala ya mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) Jasmine el Gamal ambaye amesema kuwa licha ya kupita mwaka mmoja sasa tangu Wizara ya Usalama wa Ndani ya Marekani iliyoanzishwa baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 kutangaza azma yake ya kupambana na ugaidi wa ndani na vitisho vya wazungu wenye misimamo mikali, lakini uchunguzi unaonesha kuwa, wizara hiyo haijachukua hatua yoyote katika uwanja huo.
-
Maseneta wa Marekani: Siasa za Trump zimeifanya Iran iwe imara zaidi
Sep 25, 2020 04:03Maseneta wa chama cha Democratic nchini Marekani wamekiri kwamba siasa za serikali ya Washington zimepelekea kuimarika zaidi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutengwa Marekani duniani.
-
Trump atabiri matokeo ya uchaguzi wa rais wa Marekani kuamuliwa na Mahakama Kuu
Sep 24, 2020 23:04Rais wa Marekani ametabiri kuwa huenda hatima ya matokeo ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo ikaamuliwa na Mahakama Kuu.
-
Ujerumani yamshutumu vikali Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Luteni Soleimani
Sep 23, 2020 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amemshutumu na kumlaumu vikali rais wa Marekani, Donald Trump kwa kutoa amri ya kuuliwa Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Walinzi wa Mapiduzi ya Kiislamu SEPAH.